Hoyce temu azindua.......

Hoyce temu azindua.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,252
[h=2]WAANDISHI WA VITABU, MASHAIRI NA WANAMUZIKI WALETA RAHA KATIKA TAMASHA LA PEN & MIC III.[/h] 04 Aug

Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza.
Msanii kughani mashairi Crystal Leigh Endsley ambaye alikuwa miongoni mwa wanachama wa tamasha la PEN & MIC akionyesha umahiri katika fani hiyo.
Hoyce Temu akiwa katika picha ya pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya MKUKI na NYOTA ambayo ndiyo imechapisha kitabu cha Hoyce Temu. Kitabu NAYAKUMBUKA YOTE kiko mitaani tayari na kinapatikana kwa shilingi 5000 kwa nakala lengo likiwa ni kuhamasisha wasichana na wanawake wanaopitia magumu katika maisha.
baadhi ya watu na wadau mbalimbali waliohudhuria tamasha hilo.
Mwandishi wa Kitabu Hoyce Temu akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wake wa kazi kutoka UN Sala Patterson (kushoto) pamoja na mdau.
Mrembo wa Tanzania 1999 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mrembo wa Tanzania 2002 Angela Damas.
Mwandishi wa Kitabu Hoyce Temu akipongezana na rafiki ya mpenzi Hobokela Magale katika tamasha la PEN & MIC mara baada ya kutoa ufafanuzi wa kuwa mshauri wake mkuu.
Hoyce Temu akimkumbatia mke wa mfadhili wake mkuu Bi. Bgoya.
Wadau wakishangilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ukumbini humo.
 
sijui anasema nini....kwenye hiki kitabu maana bado sijakitia mkononi............lakini kama kile kipindi chake kisicho na kikomo kwenye channel ten............ is anything to go by..............................I am really loss with words.................
 
Anazidi kuchoka huyu mdada!
By ze way hongera zake, ni hatua nzuri japo sijui contents za kitabu chake!
 
Anazidi kuchoka huyu mdada!
By ze way hongera zake, ni hatua nzuri japo sijui contents za kitabu chake!

kinachomchosha utakuta ni kukosa gavana...................
 
We unayesema anazidi kuchoka hujui hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kwetu tunauliza jani bichi hucheka lililo kauka? Serve your comments one day na wewe utachoka tuuu. Hongera mrembo hoyce.
 
Sasa wasichana walio kwenye mazingira magumu wata afford kulipia sh 5000/=???
 
haya mamaaa...all the best na kitabu chako......
 
ila nahisi angekizindua wakati ule anashikilia taji angeuza sana,sio sasa hata umaarufu wake umepungua ndio anazindua kitabu?!
 
Jamani tuwe waungwana kidogo,alikuwa miss Tanzania miaka 12 iliopita na wote tutachoka in good time,tumsifu kwa kuandika kitabu ni jambo zuri.
 
Apewe sifa zake mdada hoyce yupo juu anajitahidi kwa kweli big up
 
ila nahisi angekizindua wakati ule anashikilia taji angeuza sana,sio sasa hata umaarufu wake umepungua ndio anazindua kitabu?!

wewe nae vipi?
kuna miss tanzani mwenye akili ya kuandika kitabu?
wakishashinda wanawaza mabuzi kwanza...
ni mpaka mda wao upite...na chati ishuke
ndio wanapata akili ya kuandika vitabu...

i bet we mwenyewe enzi zako mashine bado mwalu..
hukuwa unajua hata vitabu vinapatikana wapi lol
 
wewe nae vipi?
kuna miss tanzani mwenye akili ya kuandika kitabu?
wakishashinda wanawaza mabuzi kwanza...
ni mpaka mda wao upite...na chati ishuke
ndio wanapata akili ya kuandika vitabu...

i bet we mwenyewe enzi zako mashine bado mwalu..
hukuwa unajua hata vitabu vinapatikana wapi lol
With all fairness to Hoyce, she went to school in the US for 4 years after Miss Tanzania. She graduated and started writing a book.
She returned home and got a job. What's wrong with that?
 
Jamani mbona watu wakiandika upande wa pili wa huyu bint habari zinafutwa? kama ni hivyo basi hata hao wengine tusiandike mambaya yao. Huyu ni mchafu saana.
 
naujua uwezo wako kwa siku nyingi kiasi nilipenda uwe mwanasheria lakini nashukuru unaweza kuikomboa jamii kwa kujitoa kwa kiasi kikubwa japo sija soma kazi yako hii hata kama umeandika ugolo but yu have make it
 
with all fairness to hoyce, she went to school in the us for 4 years after miss tanzania. She graduated and started writing a book.
She returned home and got a job. What's wrong with that?

exactly.....
Nazungumzia alipokuwa miss tz angeweza andika kitabu???????
 
Kwa silika yetu watanzania kusoma kitabu ni issue... itakuwa kwa mwanadada kama huyo kuandika kitabu ... ' take five!!!! Keeeppp it up! Hoyece ...yur intellingent than most celebrite of your age!! Keep up the good job!!
 
Back
Top Bottom