t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,472
- 15,027
Mkuunimekwambia 7bu ninao uzoefu japo c sana iyo pesa unayotaka kununua kichwa pamoja trailer unaweza ukapata vipisi viwili hadi vitatu vya scania vikiwa bado na hali nzuri kabisa na asikudanganye m2 tipa inaripa sana na haiumizi kichwa kuliko semi ikiwa moja peke yake ,ni ushauri tu
Hivyo vipisi viwili hadi vitatu vya scania unavyozungumzia viko katika hali gani?
Nilivyomuelewa mtoa mada ni kama anataka kununua semi used kutoka ulaya , hivi unafahamu ushuru wa kipisi kutoka ulaya ni karibu milion 40? Wakati semi na tela lake kodi halifiki hata milioni 35?
Kama unamshauri jamaa anunue za mkononi sawa lknajue haitamlipa na itamsumbua