Howo Vs Scania

Hata Scania pia
images-8.jpeg
2016-11-25-16-45-05--273912339.jpeg
 
Tafuta scania 124 safi ijali vizuri itakurudishia fadhila na hautawaza tena habari za howo.. Ukiweza kununua truck huwez kuwaza eti howo sijui inanusa mafuta
124 ya mtumba kutoka ulaya imekua adimu sana ndo maana siku hizi watu wanajilipua na R420, ni ghali sana kuitengeneza ikiharibika lakini ufanisi wake pia unashawishi
 
Mhh
R500 inahitaji upate dereva wa kukuendeshea, sio kila dereva anaiweza hiyo,

Mkuu V8 inataka nidhamu ya juu sana si kwa dereva wala tajiri, la sivyo utafilisikia hapo, ni somo refu sana kuielezea V8 na matatizo yake , ila ukifanikiwa kuimudu v8 hutotaka kuendesha au kumiliki gari nyingine yoyote.
Hilo Ni wazo NZURI SANA SI KUNA CHUO CHA KUJIFUNZIA UDEREVA CHA TAIFA ITABIDI APELEKWE KABLA HAJAANZA NA APELEKWE KULE KARAKANA YA SCANIA DARESALAAM KWA MAFUNZO ZAIDI .
 
Mkuu hebu nipe hasara ya 113
Mosi Kwanza kabisa mafuta , 113 Ni heavy on fuel ,kwa kazi yoyote ile sijui labda basi

Pili ufanisi, mkuu Kama umeiona r420 au R440 iliyo simama ikiwa kazini, utakata tamaa kabisa na 113

Tatu running costs , hapa inabidi kuwa makini kidogo unaeza kuona spare ya 113 ni cheap, lakin haidumu, kwa kua ni ngumu kupata genuine parts za series hizo, kwa maana nyingine Kama unapiga hesabu za downtime costs and delays vizuri huwez ukaipa kipaumbele 113

Nne ni kuchagua Kaz, huwez kushindana na lalets tools Kama una113, kazi za siku hizi Ni heavy lkn pia time sensitive, unatakiwa uwe na tool ambayo inaweza hayo mawili.

Mambo ni mengi Sana kuyaelezea hapa ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta namuelewa sana huyu jamaa.
Mimi sio dereva wala sihusiki na magari
Ila napenda sana kujua habari za magari.
Kuna wakati huwa naamua kwenda kwa madereva wa maroli na kukaa nao. Basi huwa naburidika sana.
Nina marafiki wengi madereva wa maroli huwa nasafiri nao na wao wanajua napenda sana kuwa nao karibu.
Mkuu you're a professional.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh
R500 inahitaji upate dereva wa kukuendeshea, sio kila dereva anaiweza hiyo,

Mkuu V8 inataka nidhamu ya juu sana si kwa dereva wala tajiri, la sivyo utafilisikia hapo, ni somo refu sana kuielezea V8 na matatizo yake , ila ukifanikiwa kuimudu v8 hutotaka kuendesha au kumiliki gari nyingine yoyote.
Nimekuelewaaa saaanaaa.
Yaani nasoma ufaanuzi wako nacheka mwenyeweee…!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom