Howo Vs Scania

nimekwambia 7bu ninao uzoefu japo c sana iyo pesa unayotaka kununua kichwa pamoja trailer unaweza ukapata vipisi viwili hadi vitatu vya scania vikiwa bado na hali nzuri kabisa na asikudanganye m2 tipa inaripa sana na haiumizi kichwa kuliko semi ikiwa moja peke yake ,ni ushauri tu
Mkuu
Hivyo vipisi viwili hadi vitatu vya scania unavyozungumzia viko katika hali gani?

Nilivyomuelewa mtoa mada ni kama anataka kununua semi used kutoka ulaya , hivi unafahamu ushuru wa kipisi kutoka ulaya ni karibu milion 40? Wakati semi na tela lake kodi halifiki hata milioni 35?

Kama unamshauri jamaa anunue za mkononi sawa lknajue haitamlipa na itamsumbua
 
mzee nasema hivi sibahatishi ndio kazi yngu kw upand mwngne,kipisi ambacho bado kinadai number C-D unapata kwa hd85-90 ukitaka B-A ni hd chini ya85M na havisumbui vinapiga kazi hata ukivibadili kuwa pulling na kama semi mara kumi ikabebe kokoto nyeus n kukulipa inategemea na uzoefu wa dereva,sasa hayo huoni ni kuumizana kichwa? ni ushauri tu
 
Na hii napata kwa being gani?
5b984d753744acb1b22da358814b0426.jpg
 
Ila kama mfuko upo chini kidogo chukua Scania 113. 320hp au 310hp.Hizo gari ni mninga hazina mambo mengi ya electronics.Halafu zinaimba balaa.
Mabwashee wengi ndio gari zao hizo.
 
Kuna mabasi nayajua ni Scania 94D.Ziko vizuri sana kuliko hizo Yutong,Higher za kichina ambazo ni mpya.

Kwa wale wazee wa Ubungo bus terminal mtaikumbuka basi la happy nation lilikuwa likiitwa "sauti ya manka".Jinsi lilivyokuwa likizinyanyasa Yutong ambazo ni mpya.
 
Kuna mtu kafananisha Volvo fm12 ya 380hp na Scania R420.Japo zote ni made in Sweeden.Volvo ni nyepesi kuliko Scania.
 
Ila kama mfuko upo chini kidogo chukua Scania 113. 320hp au 310hp.Hizo gari ni mninga hazina mambo mengi ya electronics.Halafu zinaimba balaa.
Mabwashee wengi ndio gari zao hizo.
Hizi 113 Ni ghali zaidi ya hizi 124 amini usiamini mkuu,
 
Hizi 113 Ni ghali zaidi ya hizi 124 amini usiamini mkuu,
Kweli ni mninga hizo hata ukiipata kwa mtu kwa bei chee nunua halafu ifanyie service ya kutosha hotojuta.Halafu kwa upande wa mafuta ziko vizuri.

Ingia facebook tafuta ukurasa wa jamaa mmoja mwingereza,Bruce Charles Commercials huwa anauza Scania,Volvo,Fodden n.k kwa bei poa sana.Yuko fair sana.
 
Hizi 113 Ni ghali zaidi ya hizi 124 amini usiamini mkuu,
Correct ! Umefanya homework vizuri bro, in history book is where they belong those 113 , not working horse at 50 tons

Nature ya mazingira ya kaz kwa sasa inahitaji gari zenye nguvu na uhakika , 113 itakulimit sana kwenye kaz za sasa na amini usiamini those donkey are very heavy on fuel
 
Kuna mabasi nayajua ni Scania 94D.Ziko vizuri sana kuliko hizo Yutong,Higher za kichina ambazo ni mpya.
Kwa wale wazee wa Ubungo bus terminal mtaikumbuka basi la happy nation lilikuwa likiitwa "sauti ya manka".Jinsi lilivyokuwa likizinyanyasa Yutong ambazo ni mpya.
Sauti ya manka ilikuwa ni 113 , yeah kweli ilikuwa ni balaa ,
 
Kasi ya kuchanganya ili kupata mwendokasi mkubwa zaidi.
Mkuu ungefafanua kidogo kwa faida ya wengi kwa sababu hata hizo volvo zenye same specifications ila zikawa na diff tofauti lazima moja itachanganya haraka kuliko nyingine, sasa ungefafanua kidg Volvo Fm12 with 380hp (12lt) inakuwaje nyepesi kuliko scania yenye 420hp (12lt)
 
Mkuu
Hivyo vipisi viwili hadi vitatu vya scania unavyozungumzia viko katika hali gani?

Nilivyomuelewa mtoa mada ni kama anataka kununua semi used kutoka ulaya , hivi unafahamu ushuru wa kipisi kutoka ulaya ni karibu milion 40? Wakati semi na tela lake kodi halifiki hata milioni 35?
Kama unamshauri jamaa anunue za mkononi sawa lknajue haitamlipa na itamsumbua
Boss za asubuhi broo. Nimeona ushauri wako kuhusu Scania mende ya mchanga nikaona sio vizuri kupuuzia ushauri unaopewa Ni bora tuwasiliane unipe ushauri kuhusu hii scania mende ya mchanga.

Kabla sijaagiza hii kichwa cha scania 420 ,kama hutojali naomba tuwasiliane Kwa ushauri zaidi kaka ,
Asante sana broo.
 
Boss za asubuhi broo. Nimeona ushauri wako kuhusu Scania mende ya mchanga nikaona sio vizuri kupuuzia ushauri unaopewa Ni bora tuwasiliane unipe ushauri kuhusu hii scania mende ya mchanga ,Kabla sijaagiza hii kichwa cha scania 420 ,kama hutojali naomba tuwasiliane Kwa ushauri zaidi kaka ,
Asante sana broo.
Mkuu sijakushauri ununue mende ila kuna mdau hapo juu alizungumzia hizo gari za mchanga na hesabu zake

Any way sijawahi kuzikubali gari za vipisi na mahesabu yake naziona ziko.juu sana kwa gharama za kuanzia, zina mchaka mchaka sana na hivyo zina matumizi makubwa ya pesa , na ni ngumu sana kubadilisha kazi, mf kana kipisi ni tipper kaa ukijua hakuna siku utabeba mbao au mahindi,
My heart lies on semiis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom