Kabla hujanunua tractor angalia kwanza unataka kutumia mazingira yapi hizo horse power si solution ya kukufanya ukimbilie kununua gari wengi wanasema Howo sababu moja tu inakuja mpya na ni 6x4 so kwenye rough road inafanya kazi vizuri kama tope au mchanga matajiri wengi wa kitanzia wananunua scania man volvo na brand nyingine za ulaya ambazo ni ex Uk zinakuja hapa tanzania na 6x2 ukichukua hizi gari mbili kwenye mazingira ya kitanzania lazima uone howo ipo ahead kama unataka ku enjoy brand za ulaya iveco scania man benz volvo ziwe ni 6x4 yaan nyuma difu zote mbili zinavuta ndiyo ufananishe na huyo howo. Gari za kchina zinafanya wengi wawe wagumba vina vibrate sana kama unaendesha tractor

.
Ukitaka ku enjoy nunua scania ex south ambazo ni 6x4 ingawa sijui unataka ifanye kazi mazingira yapi