HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

kweli tumuache,ila amini usiamini kuanzia kesho hadi keshokutwa mimi nina uhakika matusi,kashfa na dharau zitapungua humu,kutakuwa kimya.

Na mamluki waliojitokeza kuwa washabiki wa wakoloni, watajitaliki wenyewe!
 
Wote ambao hamuamini kuwa R.MADRID katolewa wekeni ahadi zenu kama KITOABU za kupigwa ban hata ya siku moja.
 
Haya haya..!!! Tunangojea kipenga madrid anachabanga mtu hapa leo.!!!
 
Web (kama waingereza wengi) kwa vyovyote ana beef na wajerumani. Uwezekano mkubwa ataipendelea R Madrid
 
Webb kasajiliwa tayari
uploadfromtaptalk1367847435888.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom