hahahaahahahaaha kwa hiyo tatizo ni jamani zake...unajuaje kama alizoea kushinda na dada zake,imetosha bwana mmemsakama sana!
Tunajaribu kumwepusha ili asijiunge na timu pinzani hatuna nia mbaya. Ila mbona haujibu pm zangu?
Aisee wewe, unanifanya napata hasira, wenzio wanakuuliza maswali ya kejeli na ya kudhalilisha nawe unakazana kuwajibu kistaarabu, hebu kaza sauti uwajibu kama mwanaume!....kwani kumwambia lotion ninayotumia tatizo liko wapi?
kumbe mnampenda eeeee......si nimekuambia sijui kujibu pm
Aisee wewe, unanifanya napata hasira, wenzio wanakuuliza maswali ya kejeli na ya kudhalilisha nawe unakazana kuwajibu kistaarabu, hebu kaza sauti uwajibu kama mwanaume!....
Waonyeshe kuwa wewe ni mwanaume kweli na sivyo wanavyokufikiria...
Ila hamumtendei haki mwenzenu,.. Haipendezi, hajajiumba peke yake! Na kwani yeye ndie mwanaume wa kwanza kuwa na macho kama hayo?? Itakuwa vipi Mungu akikupa mtoto mwanamume mwenye macho kama yake? Acheni kumdhalilisha bana, na mnamwonea vile anaonekana wala hajui kujieleza!Tunajaribu kumwepusha ili asijiunge na timu pinzani hatuna nia mbaya. Ila mbona haujibu pm zangu?
utoto uko wapi hapo....Sioni haja ya kumjengea uadui mtu hapa JF as long as tunakutana na challenge nyingi. Hatuonani sura ila tunatambuana kupitia maneno tunayapost humu JF. Halafu mbona unakuwa kama mtoto vile bi shosti
utoto uko wapi hapo....
Vp mrembo!nimekumisooooooooooo kishenzi!!!!!!U wanna know my appearance? This is how i look like.
Tooobaaaaaaaaaaaaaaaa!:A S embarassed:angalia avatar yangu..
Kwani kuna ubaya nikionekana kama hivi nilivyo?
jikaze japo kiduchu basi mtoto wa kiume.
Mtoto jicho nyanya kama umekula kungumanga?
Khaaaaaaaaaaaaa!
Haiwezekani nitonye lol!
Nimekupenda gafla!!!
Simfahamu maprosoo. Kwani ana nini?
Huyo Maprosoo humjui eh halafu nilikupa angalizo unapokuwa unajibishana na wanaume utajijengea perception mbaya
Khaaaaaaaaaaaaa!
Haiwezekani nitonye lol!
Nimekupenda gafla!!!
Naomba uniazime kale kacheo nilichokuachia nika2mie kwa huyu jamaa halafu nitakurudishia.
MAPROSOO.
Tooobaaaaaaaaaaaaaaaa!:A S embarassed: