una macho na lips nzuri sana mkuu..we ni kabila gani?
Chukua kioo ujitazame mkuu.
usinitajie hilo jina mkuu,
ana ka-spirit ka shetani ndani yake.
Kweli mkuu hata mimi nimekucheki,huna ata baka usoni,mkuu huo mkorogo wako balaa,sasa kama usoni tuu hivyo jee kona nyingine za ndani??teh teh.
Vp kuhusu shanga mkuu?maana wasukuma+wapare+urembo ulio nao+shanga=Mhh
teh teh teh!
sauti yako nzuri mkuu.
Hv unatumia rosheni gani vile?
ili iweje?
Ebu niambie, na mie unanifikiriaje muonekano wangu??
Sauti yangu umeisikia wapi? Mimi natumia NIVEA
Kuwa makini unapowajibu wanaume
mkuu maneno yako matamu ndio yanayonifanya niamini kwamba unasauti nzuri.
maneno gani matamu niliyonayo mie?