How will i get true love?

Nimekumbuka mbali sanaa, and had mixed feelings ila nikabaki natabasamu tu. Daaah

Inshort weka akili na nguvu zako zote katika kutafuta maisha let love and romance come as an unexpected bonus/gift, and most of all let it come naturally (Otherwise chukulia ni kitu starehe tu).

Many try but very few to none make it out safe.
 
Machozi pekee sio solution,

Vile unavotamani kumpata mr right wako hakikisha nawe ni miss right

Then omba Mungu huku ukisubiri kwa matumani na subira
 
Unalia nn ss naww kwani ulizaliwa nae mie hata siliagi maana ntatoa machozi lkn hayatanisaidia kitu ndo kwanza huwa nanunua na kuku na wine napiga zangu


we utakuwa mchawi kwa asili na kama siyo leo utakuja kuwa mchawi tu
 
I believe in true love
BUT I AM...
"In A Relationship With Myself"
 
Kiruuuu shindwa kwa jina la Yesu kama ww mchawi usidhani wote tu wachawi
Sasa Mwanamke Gani asiyekuwa na hisia na Mwenzi wake.. Yaani Akikosea wewe ndio unaenda kuhsangilia na kufanya sherehe kweli huo si dalili ya Uchawi. Kwa Upande mwingine you have never loved.
 
Sasa Mwanamke Gani asiyekuwa na hisia na Mwenzi wake.. Yaani Akikosea wewe ndio unaenda kuhsangilia na kufanya sherehe kweli huo si dalili ya Uchawi. Kwa Upande mwingine you have never loved.

Hahahaha hahahaha ss mkuu unataka nilie haya wakati nalia anajua kama nalia labda wakati huo yupo na mwingine anabembea halafu mie kamasi zinitoke ahaa hapana aisee nakula zang Chakula nakuja na nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom