Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
- Thread starter
-
- #21
True n thats what Naija did walipata a certain beat wakai make it their own pia sisi hapa tuna genge but nikaa bdo haiinuki venye inafaawapo weng tuu mfano
Elani
Dela
nameless
camp muller
wyre.......nk
kenyan music is very well hasa wakishagundua mahali padogo....they will reach far away
N btw Khaligraph ako among top ten best rappers in africa so ako sawa atleast ana rep east africa hapoHaha yeah bro,, napenda video yake ft khaligraph,,Tunji ni noma
Duh,,that song ni ya zamani sana,,ina kaa miaka 9 sasa toka imetoka,na hata hilo group sidhan kama bado lipo mkuuOK, maji ya chupa ya Kilimanjaro ( Its a most popular bottled water brand in Tanzania) yanapatikana huko Kenya? Hlf Naipenda nyimbo ya camp mulla inaitwa party don't stop Latimore Mimo wangeci
Siezi jua juu hata saizi hatuwaskii,but pia sai tunaimba,ni venye kila mtu ana style yake ya kuimba huku si ka naija kila mtu anaimba almost style same na beat almost samemaana yake kitambo ndo mlikuwa mnaimba vyema ,mbona ww hujui nyimbo za zamani za rwanda
I know bro,,,he's good,napenda mask off remix(Toa Tint)N btw Khaligraph ako among top ten best rappers in africa so ako sawa atleast ana rep east africa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida ya kichwa ama,umeskia nikiingilia Tzanian yeyote na lugha yake,grow up hauezi tusi/dharau mtu juu ya lugha yake kitu unafaa ujue its that language that makes diffrence between mi na wewe and Kenya n Tanzanian,that language gives mi ownership ,n btw mbona ww pekee ndo unateta about my swahili,grow up acha bitch behaviour ,be a manwakenya hiki sasa ndo lugha gani '' niliona juice ya azam ka si confuse,but nairobi ni hard kuzipata ''
Hio ni poa na jee umeskia his new song inajiita Gwala,hio ndo dope kwanza video ni litI know bro,,,he's good,napenda mask off remix(Toa Tint)
Petra ni muhindi,alafu huyo dem wa micasa na khali,at that time i think they were dating,but sai sijui,Fena gitu ni mkali,Naiboy ni m zii sana anafaa atoe collabo sasa na Tzanian rapper mmojaHahaha yeah ngoma kali ile,ili hit hata huku pia
Femi One
Fena Gitu
Muthon drummer queen
Petra
Halafu kuna yule demu alikuwa feat na Khaligraph kwenye ile hit singer ya MicaSa
Naiboy ni zee
pia sijaelewa hebu andika kiingereza ,tunakielewa kuliko kiswahili chenuUna shida ya kichwa ama,umeskia nikiingilia Tzanian yeyote na lugha yake,grow up hauezi tusi/dharau mtu juu ya lugha yake kitu unafaa ujue its that language that makes diffrence between mi na wewe and Kenya n Tanzanian,that language gives mi ownership ,n btw mbona ww pekee ndo unateta about my swahili,grow up acha bitch behaviour ,be a man
Sent using Jamii Forums mobile app
gwala ni nini kwa kiswahili,au ni kikuyuHio ni poa na jee umeskia his new song inajiita Gwala,hio ndo dope kwanza video ni lit
Sent using Jamii Forums mobile app
Gai hapo kwa maji sijui aki huku company za maji ni mob sana hata huwa hatuziamini maybe apart from dasani ndo iko famous but maybe iko,btw nimeambiwa na bheste yangu sai that (eatv)ilikuwa kitambo that time nilikuwa mtoto sana lakini ikapotea,n about camp mulla party dont stop ni kali sana lakini Addicted ndo iliwainua sanaOK, maji ya chupa ya Kilimanjaro ( Its a most popular bottled water brand in Tanzania) yanapatikana huko Kenya? Hlf Naipenda nyimbo ya camp mulla inaitwa party don't stop Latimore Mimo wangeci
Wali achana imagine na venye huku tulikuwa tunawapenda atleast walikuwa na future ya kutupeleka mbaliDuh,,that song ni ya zamani sana,,ina kaa miaka 9 sasa toka imetoka,na hata hilo group sidhan kama bado lipo mkuu
Asee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikiaUsi criticize kenyan music,juu kuna watu wanapenda,na pia kuna watu who dont listen to Tz music btw apart from maua sama na kwangaru sina any Tz song in my phone,but hata kama siskizi your music siezi wadharau na kusema mko chini,btw hata nigerians wali admit our music is good ni venye haipati marketing poa kuna corruption mahali,so who are you,n btw some pple in nigeria n SA still think Diamond is kenyan,usishangae pia wakisema Huyo sijui umemuita Mbosso ni mkenya haha,sikuwa nataka kuwa rude but umeniboo tu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
aki ni nini ?Gai hapo kwa maji sijui aki huku company za maji ni mob sana hata huwa hatuziamini maybe apart from dasani ndo iko famous but maybe iko,btw nimeambiwa na bheste yangu sai that (eatv)ilikuwa kitambo that time nilikuwa mtoto sana lakini ikapotea,n about camp mulla party dont stop ni kali sana lakini Addicted ndo iliwainua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly bro,Naiboy ni nomaPetra ni muhindi,alafu huyo dem wa micasa na khali,at that time i think they were dating,but sai sijui,Fena gitu ni mkali,Naiboy ni m zii sana anafaa atoe collabo sasa na Tzanian rapper mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Utangoja hauezi change culture,hio ni culture yetu,na twajivunia hakuna mtu amekukataza ku embrace your swahili n culture,unajua Tz na kenya ni neighbours but nimeanza kuona tuna culture tofauti sana as in hatukaribiani,hata mombasa hawa karibiani na nyinyi,coast speak good swahili than huku kwingine but uzuri ni kuwa nikiongea hii lugha yangu unayoitusi ataiskia tu,na pia yy akiongea ntamuelewa but Tzanian and by Tzanian i mean you,ukiongea sielewi ukitext sielewi,but mi sijadhalilisha your swahili,n thats the diffrence btwn kenya na Tz wee uki ni insult mi nakuhurumia tu,Magufuli does the same but kenyatta kila saa anamwabia yy anaubaya na yy,its kenyan logic kupenda EAC juu they will forever be our neighbours pende tusipendeAsee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikia
Mwingine leo alitutusi ati tunaongea kiswahili na mapua ati tuna bana pua,hata sikumuelewa what he meant ,whats up guys na hii swahili yetu,its either inawauma ama mko jealous juu umetry kuongea ka sisi ukalemewa?Asee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikia
Talk for your self,na haujashikwa mguu,brotherman your free to sleep,n achana mi na my swahili,btw hakuna kiswahili poa na mbaya so its means your swahili is not anyway better than mine,Peleka kiburi huko kwenu,aki usifanye nikuchamgamkie hapa,Mkenya akijam huwa mbaya sanaaki ni nini ?
mob ni nini ?
sai ndo sahivi ?
hebu kula magitheri ulale hakuna mtu anataka kusikia mavitu ya kenya na somalia
Unatambua Kelechi?coz i think kuna song wameimba na petra?Kelechi ana accent ya coast ni ka Otile wote ni wa coastExactly bro,Naiboy ni noma
Yap,,Kelechi ali hit na Wapoteze si ndio yeye?Unatambua Kelechi?coz i think kuna song wameimba na petra?Kelechi ana accent ya coast ni ka Otile wote ni wa coast
Sent using Jamii Forums mobile app