Sasa bwana mdogo utasemaje miziki ya bongo imeanza kuhit kenya kipindi cha wasafi wakati kipindi cha kina mr nice ulikuwa hujazaliwa, na hata mambo ya kwenda club umeyajua juzi.I dont know who that is i was not born in his era mzae,check my profile pic n am not from mombasa so sijui huyo ni nani mzae,nimegrow nikiskiza vitu different sana nimejua bongo juu ya klabu na ni juzi juzi tu venye diamond amekam,pole bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hiyo miziki kutokuhit hapa bongo ni kosa la madj mzee baba.Mkuu unawezaje kutaka kitu usichokijua,kazi ya madjs ni kuwapa wasikilizaji ladha wanazozijua na wasizozijua.muziki mzuri ni muziki mzuri tu hata kama hujawahi kuusikia ukiusikiliza tu kwa mara ya kwanza utaupenda tu.wengi wanategemea nyimbo zipigwe redioni ndio tuzijue.
Kasikilize ethiopian reggea na mziki wa kiethiopia kwa ujumla halafu utanielewa nini namaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx kwa kuwa appreciate wale wa kitambo lakini kusema ukweli Tz ni wasafi tu,hao ndo pekee wamevuna huku,mavoko alitoka now we dont listen to it,so in other words wasafi waki break hakuna mziki wenu kenya,na naskia harmonize pia anataka toka,n wasafi di huskiza simba,harminize na rayvanni hao watatu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Otile ngoma zake nazielewa sanaOtile brown anafanya poa sana tz....for example njiwa na kistaarabu
Hapo sasa umebonga sense na ndo maana watu sai wanalaumu sana media kuto market our songs nje,but that will change soon coz of the #Sasa bwana mdogo utasemaje miziki ya bongo imeanza kuhit kenya kipindi cha wasafi wakati kipindi cha kina mr nice ulikuwa hujazaliwa, na hata mambo ya kwenda club umeyajua juzi.
Nikikuambia jinsi wakina marlow, hussen machozi, kina tid na wengine wengi walivyohit kenya kwenye miaka ya kuanzia 2000- 2013 najuwa utanibishia, chakufanya mtafute broo hapo mtaani kwako akupe taarifa za hao wasanii. Pia muulize mr nice ni nani.
Kwahiyo bwana mdogo miziki ya bongo ime dominant soko la muziki huko kenya tangu miaka hiyo ndio maana mmeona ni too much mkaamua kuja na kampeni yenu ya kusema play kenya music. May be inaweza kuwainua kidogo but mkumbuke aliyekuwahi kakuwahi tu
Kwahiyo wewe kutokuwa hujazaliwa au hujaanza kwenda club kipindi hicho haiondoi huo ukweli.
Will m tuva alisema ukweli kuwa wasanii wengi wa kenya hawajitumi hata kidogo, na hawapendi kusaidiana.
Akotee anasema alikuwa naigeria akawa anawauliza baadhi ya watu ni msanii gani mnayemjua kutoka kenya? Wengi walikuwa wanasema wanawafaham sauti solo tu so unaweza kuona ni kwa jinsi gani bado amjajitangaza vya kutosha
wanaitwa one hit wonder,ngoma yake iokote pekee ndo kila mtu anajua,so hatumjui beside that,she is a one hit wonder hukuSo you are telling us even MAUA SAMA who is 2nd on the trending list in Kenya is from Wasafi?
Check your facts first before uttering baseless opinionsView attachment 1013346
Thnx kwa kusema tuna penda varieties coz hio ndo kitu hawa wasee hawaelewi ,we have whites m indians in kenya n they were here hata before colonisation so vitu mob tumeiga kwao we dont stick to one thing sasa nyi huko mnashinda tu diamond tu like yy pekee ndo mnajua,kenya kuna part ya watu hata hawajui Fena gitu,kuna watu hawajui king kaka lakini amevuma sana,that is kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Fiti bro huyo msee ako tu sawa ako na talent,sikia kenyan girl yake ni moto sana
Bongo ni Wasafi tu so,usinitishe na staff ya penny mbili,hata hio list kwangu haimake sense,anyway who cares,kuliko mufurahie kenya inawatajirisha,n believe kama diamond ange hit kenya Africa haingemjua,nimechoka ku argue,jipe shughli budaKama hawamjui Diamond ni nani au kama mna the so called varieties mbona kila list kuanzia Itunes mpaka Youtube huwa Diamond anaongoza kwa kutrend akiwazidi wasanii wengine wote huko huko Kenya
Denial isn’t just a river in Egypt...
Its not debatable, Diamond and Bongo Music is undisputed in Kenya
You are stupid, Kenya is part of AfricaBongo ni Wasafi tu so,usinitishe na staff ya penny mbili,hata hio list kwangu haimake sense,anyway who cares,kuliko mufurahie kenya inawatajirisha,n believe kama diamond ange hit kenya Africa haingemjua,nimechoka ku argue,jipe shughli buda
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaitwa one hit wonder,ngoma yake iokote pekee ndo kila mtu anajua,so hatumjui beside that,she is a one hit wonder huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauezi nifunza about mentality,brother change yours first,sifikirii tu about kula ugali na kulala n then kupiga udaku,Kenyans know their rights hakuna mtu anaeza tuambia nyef nyef its our country tukiamua hatutaki your music shida yenu ni??Kenya ni yetu so we manage it how we want,n the media imeamua kucheza kenyan music ya kenya 70%so pole broYou dont know shit...
Diamond hustled for that, he went to Nigeria when no one knew him!!
He payed to attend nigerian celebrity events so as to find connections..go and search how he went to psquares wedding..
But here comes kenyan artists with their lazy asses chanting #PlayKemusic thinking a hashtag can help them instead of working to make better music and find more connections..
You wont succeed until you change your mentality, sitting behind your keyboard saying Kenyan Music is better will not help you..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni punguani!.. Siwezi poteza muda kubishana na wewe?!..saivi utasema hili. baadaye utakana hujasema!.. yaani hueleweki! halafu Kumbe wewe umezaliwa buku mbili hapo!.. sasa utajuaje industry ya muziki.. eti wangechi! sijui Petra! wewe unaleta fact then unaikana fact!.. Naondoka kwenye hili linyuzi lako na siji tena!Juu we love our country so hatuwezi tembea our country tukiskia Tz ama Nigerian music n we in kenya,swali inafaa kuwa mbona hatuna shida na za western,na hio sitakujibu but jua our kenyan mentality wazungu walitumess,we more of white less black na hio si kitu poa,ina tu mess sana,huku hadi kuna chuo hawafunzi swahili,kuna watu hawaongei swahili,toka nikiwa shule monday to thursday tulikuwa tunaongea English then friday pekee swahili,imagine
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa ukweli. fanyeni kazi sio kuleta hizo hash tag zenu za kipumbavu! mmeona mnazidiwa kete! kwanza angalia mwenyewe konde boy Kaja Juzi tuu ila angalia alivyofanya powa. sasa mmeamua kuja kujipigia promo mpaka huku jf!. nikwambie tuu buda huwezi kutushawishi tusklize machoko kama nyie mnaobana pua!.Hauezi nifunza about mentality,brother change yours first,sifikirii tu about kula ugali na kulala n then kupiga udaku,Kenyans know their rights hakuna mtu anaeza tuambia nyef nyef its our country tukiamua hatutaki your music shida yenu ni??Kenya ni yetu so we manage it how we want,n the media imeamua kucheza kenyan music ya kenya 70%so pole bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui umeandika nini?cant get your swahiliWewe ni punguani!.. Siwezi poteza muda kubishana na wewe?!..saivi utasema hili. baadaye utakana hujasema!.. yaani hueleweki! halafu Kumbe wewe umezaliwa buku mbili hapo!.. sasa utajuaje industry ya muziki.. eti wangechi! sijui Petra! wewe unaleta fact then unaikana fact!.. Naondoka kwenye hili linyuzi lako na siji tena!
Halafu acha kuja kupromote hao wakina wangechi sijui Petra!.
Shenzy wahed..
Nilisema ngoma ya maua sama naipenda sana na hio sikuficha na niko nayo hadi kwa phone,pamoja na kwangaru lakini hizo zingine mi huziskia tu kwa bash ama klab,na.hio ndo ukweli na hio staff ya kubana pua usiniambie tena,basi pia wewe ongea ka umebana pua tutoshane,nkt fucking damp squib,very numptyUmeambiwa ukweli. fanyeni kazi sio kuleta hizo hash tag zenu za kipumbavu! mmeona mnazidiwa kete! kwanza angalia mwenyewe konde boy Kaja Juzi tuu ila angalia alivyofanya powa. sasa mmeamua kuja kujipigia promo mpaka huku jf!. nikwambie tuu buda huwezi kutushawishi tusklize machoko kama nyie mnaobana pua!.
mwanzo ulisema maua sama huwa unamskliza kila siku asubuhi kwenye playlist yako.. sehem nyingine ukasema nyimbo za bongo unaziskiaga club tuu!.. acha upuuzi jomba..