Mbona mnaogelea kwenye bwawa la kufugia samaki? Tena la serikali! Manake umesimama kwenye inauguration stone!
waaaoooooooo patamu hapo, na hiyo iliyotuna hapo chini ni nini?
hiyo ni kinanihii cha kunanihilia...
View attachment 57451
..................
Si unajua tena kibongobongo,tunajitahdi kila kitu kiwe multi purpose,juzi kati nilikuta jirani analisha mbuzi wake kwenye garden yangu yuko huru kabisa, sasa huyo nae bwawa la samaki tumefanya beach!