Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
Wala usiogope huyo haelewi anachoongea kwasababu kutokana na torrent technology inavyofanya kazi ni vigumu kukukamata kwasababu unacho download siyo file la muziki au movie bali torrent (kijipande cha file ambacho ni encrypeted). Kama unadownload p2p sawa lakini kama unatumia bitorrent network wala usiogope kwasababu hiyo siyo centralized system.
Hivi vi-torrent ni vi-millioni vya vipande vya mafaili ambapo ukishavimaliza kuvi-download hiyo bittorrent client inachofanya ni kuviunganisha programatically. Hata ISP hawawezi jua umedownload nini kwahiyo usiwe na shaka labda kama shaniqua ((( LOL )) kaamua kukuchomea la sivyo mambo shega tuu.
Torrents ndo njia rahisi kuliko zote kukamatwa, ukiwa unatumia torrent lazima IP yako iwe public, na file unazodownload na kushare lazima ziwe public, encryption haitakusaidia. Watu wengi sana wameshitakiwa Marekani. 20,000 BitTorrent Users Sued in One Lawsuit
Bittorrent protocol inakulazima kutangaza file unazoshare na file unazodownload, otherwise hakuna njia ya kupata file kwa sababu file hazipo sehemu moja (de-centralized). Next time unatumia uTorrent nenda kwenye tab ya Peers utaona I.P za watu wote uliopeer nao (mnabadilishana files).
http://i.i.imgur.com/wHCRL.png
Kutumia site kama rapidshare au hotfile ni much safer kwa sababu communication ni kati ya wewe na host sio wewe na public, kujulikana ni mpaka host atoe data zako.