How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Wandugu,naomba mnisaidie.nimeambiwa eti baking soda inaweza kung'arisha meno ya rangi na kuwa meupe.je kuna ukweli wowote?na baking soda ndo baking powder au ni magadi.asante

sina utaalamu bado na jinsi ya kutaka kuchangia mada au kutoa mada.

Haya basi somo la kwanza... Sababu ulikua unanijibu mimi ilitakiwa hapo kwenye option ya reply... Uende kwenye post yangu alafu uchague "REPLY WITH QUOTE" ili kama huo mjadala una members wengi wanachangia, mhusika ulo mquote ajue kwa urahisi kua ni yeye hasa ulimlenga... Naomba ujaribu hilo kwanza...

ULEVI wa madaraka na ULAFI wa mali (ufisadi) ni mbaya kuliko ulevi wa mvinyo na ulafi wa chakula. Viongozi wetu ni "Sikio la kufa halisikii dawa", ni vipofu wasiosoma alama za nyakati mpaka yawafike ya 'Farao wa Misri' Hosn Mubarak na Gadafi wa Libya.

Sheria za nchi hii zimegeuzwa miguu juu kichwa chini. Waliopewa mamlaka ya kusimamia sheria wamebadili kanuni ya mkondo wa sheria kwa kuangalia nani katenda kosa. Angalia Mkuu wa kaya naye amekuwa Pilato (mtoa hukumu) kwamba wezi wa fedha za EPA ambao anawajua yeye na Feleshi wake (DPP) ati wakirejesha fedha walizoiba hukumu yao basi. Kibaka akikamatwa ameiba kuku hata kama aliyeibiwa atarudishiwa kuku wake, tendo hilo halifuti kosa na hukumu yake. (hii ndiyo UTAWALA wa SHERIA ambao mimi natafsiri kwamba Wasimamizi wa Sheria za Nchi, yaani mahakama, bunge na taasisi kama vile TAKUKURU, DPP nk. wameliwa na kumezwa na falsafa hii "UTAWALA wa SHERIA". Kwamba wanaohusika na usimamizi na sheria UTAWALA (should be eaten) then mambo mengine yanaenda smoothly. Ndiyo maana vyombo hivyo vipo kwa majina na si utendaji halisi kwa kuwa wapo walio juu wamei-s.a.b.u.r.i sheria.

Hali hii ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Wana-JF, nashauri kwamba pamoja na kutoa maoni yetu, lakini pia tuanze kutafuta suluhisho na hatima ya nchi yetu. CDM walianzisha angalao maandamano ya kutoa ujumbe kuhusu hali ngumu ya maisha, tusiwaachie hao kana kwamba ndiyo wenye uchungu peke yao.

Ninawauliza viongozi wa TUCTA na Chama cha Walimu. Sijasikia tena kauli zao wakati tunajua madai yao bado hayajatekelezwa kama tulivyowasikia wakidai. Kulikoni? Kwa kuwa viongozi wa vyama hivi nao walionekana kuwa bora kwa harakati zao, je nao imewakumba falsafa ya UTAWALA BORA? Kwamba kwa kuwa walioneka ni BORA je nao wameliwa? Au wamekuwa MBAYUWAYU changanya na zako?

wajamani sisi ni wageni wa mawazo mapya ya kimtandao tunaomba ushirikiano kwa pale ambapo tutakuwa tunakosea kwani watu hujifunza kutokana na muda na mazoea. tukisha elewa mtandao mahitajio bila shaka tutakuwa na ushauri au mchango mzuri wa kimaandishi ama mawazo yetu.

Hello!!!

I'm happy to join this forum,

Thank you for the instructions on how to use Jamii forum. it is great to have a chnace to share ideas and listen to what others think. " A problem shared is a problem halved"

How do I put a picture on my user name?

Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo basi, tunadhani ni wakati muafaka sasa kwa majukwaa mengi ya maoni changanuo, kama JF kuwa na threads kutoka kwa wazalendo wanaojulikana.. Nikimaanisha kila anayediriki kutoa maoni yake kwa jamii ya watanzania na nyinginezo, kuwe na ratibio (conditions) zitazomlazimu kuonyesha ama facebook page yake, blogs, twitter au tovuti yake, kiasi kwamba kila asomae threads zake, awe na uwezo wa kutembelea kurasa zake nyingine mtandaoni. hii itaondoa kero ya mara kwa mara kwa wachangiaji wa maada na wasomaji. Kuna wale ambao hujisajili mara moja tu kwenye majukwaa haya, na kutoa maoni yao, ama uongo, ama sumu, ama hoja zisizo stahimiliki. Hii itatunza heshima za majukwaa yetu haya ya maoni na kuwa kambi za watu makini na si kambi za mchanganyiko wa watu makini, wachafuzi, waharibifu, wasumbufu na maholela.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…