HONGERA WADAU WA MAFUTA.
Japo mlitupa shida kubwa sana mara tu mlipositisha huduma ya mafuta kwa wananchi,na sasa mmeanza tena baada ya kubanwa na serikali.Nawapeni hongera ila msitupe shida kama hii tena wananchi na muwe watii kwa mamlaka husika.
Za leo, Me ndo kwanza nimesign up 2dy! Shkamooni wakubwa. Swali langu ni kwamba, nimecheck posts nyingiii, na maswali meng ni ya msingi ila mbona mna mashushu mno jaman, au yameruhusiwa?? Plz mcnishushue
hivi mfanyabishara wa mafuta anapata wapi jeuri ya kuipa serikali 24? halafu hamna kauli yoyote iliyotolewa na serikali dhidi mtu huyu,usalama wa nchi unafanya kazi gani? je serikali inaogopa kujibu kauli hii? kwanini? Kuna nini kati ya serikali ya ccm na mfanyabishara huyu,naomba mnisaidie majibu.
Hi team, iam still new in this website/blog. i have alot to learn from you members otherwise iam stuck. nawaomba waungwana tushirikiane pamoja kwani Jamii Forum imeleta mabadiliko mengi katika jamii nyingi hasa za kitanzania na Africa kwa ujumla. mbarikiwe sana.