Ahsante sana JF. Mimi ni mwanachama mpya, lakini kabla ya kupost thread yeyote, naomba nitoe mchango wangu kwanza kwa JF kwa kazi kubwa waifanyayo. Nimesoma jinsi kulivyo na gharama za kuifanya kazi hii. JF tafadhari nitakutafuta nikutumie mchango wangu huo, kupitia Max kama maelezo yasemavyo.