UDOM,UDINI NA UKABILA
ni aibu kwa chuo kikuu kujadili na kugeuza dini na ukabila kama kigezo cha kutafuta legetimacy ya mawazo,fikra na mtazamo!udom kwa sasa dini na kabila vimeongezwa ktk vigezo vya kupata viongozi,hii ni aibu na tatizo kwa taifa,usomi wetu upo wapi?kweli tunachakuchangia kwa jamii yetu?huu ni ulimbukeni hebu uluzeni nigeria kadhia ya udini ilipo wafikisha,rwanda na ukabila je?hatustahili sifa yakua wanachuo