HOW TO UNLOCK MODEM E153u-2(AIRTEL)

HOW TO UNLOCK MODEM E153u-2(AIRTEL)

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
926
Reaction score
638
WATAALAM NAOMBA MSAADA JINSI YA KU-UNLOCK HII MODEM NI YA MTANDAO WA AIRTEL(E153u-2).NATANGULIZA SHUKHURANI.THANKS.
 
Hzo hazijashindikana kama uko arusha njoo mskiti mkuu wa ijumaa kuna internet cafe imeandikwa Friends & Company.
 
Hzo hazijashindikana kama uko arusha njoo mskiti mkuu wa ijumaa kuna internet cafe imeandikwa Friends & Company.

Na kama hayuko Arusha Bali yupo Dar unasaidiaje?Na wengine wa mikoa mbalimbali? Kumbuka humu elimu bure ni kusaidiana kwanza.
 
Mkuu nipo mbali sana na arusha, ingekua bora kama ungeniwekea link,au kama kuna mwenye ujuzi zaidi. Aweze kunisaidia thanks.
 
Hzo hazijashindikana kama uko arusha njoo mskiti mkuu wa ijumaa kuna internet cafe imeandikwa Friends & Company.

mtumie link na jinsi ya kufanya kwani kuna watu walishatoa jinsi ya kuchakachua lakini haiweki 100% na wewe kama una huo ujuzi just release it! halafu ikimshinda atakuja kuomba msaada mwengine..
hack for your interest..
 
WATAALAM NAOMBA MSAADA JINSI YA KU-UNLOCK HII MODEM NI YA MTANDAO WA AIRTEL(E153u-2).NATANGULIZA SHUKHURANI.THANKS.

GONGA HAPA, HII SOFTWARE ITAKUWEZESHA KU-UNLOCK HIYO MODEM TEMPORARY, NA NDIO NINAYOTUMIA MIMI.

5067372_orig.jpg

SOURCE: http://forum.shaarpmind.com
 
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa have a good time, thanks.
 
GONGA HAPA, HII SOFTWARE ITAKUWEZESHA KU-UNLOCK HIYO MODEM TEMPORARY, NA NDIO NINAYOTUMIA MIMI.

5067372_orig.jpg

SOURCE: http://forum.shaarpmind.com

Mheshimiwa tunashukuru tumefanikiwa maana tulishaanza kukata tamaa juu ya hili swala......swali moja la ziada ningependa kujua nikisha unlock hii kitu ni dashboard gan inayofaa kutumika kufanyia connection
 
Tumia hiyo hiyo dashboard ya airtel. Ukishai-unlock tu utaona signal zinapatikana kupitia hiyo dashboard.
 
Tatizo co link au maelezo, kinachohitajika ni kuwa na modem kwa sababu dc unlocker inafungua online
 
Join air ndo mpango mzima kaka ngoja niweke link hapa nakuja
 
Join air ndo mpango mzima kaka ngoja niweke link hapa nakuja

Vilevile kuna jamaa kaleta shule nyingine, unaweza kutumia nokia pc suite software kuconnect to internet. Nimejaribu kwa airtel modem ndani kukiwa na line ya tigo imekubali. Shukrani Chief Mkwawa. For more information please click HERE!
 
Back
Top Bottom