How to track someone's phone?

....hapo chacha....
 
Mimi natumia tecno ndogo ya kitochi lakini nahic wamenitrack mawasiliano yangu nifanyeje kujitoa humo
 
Hadithi za abunuwasi hizi
Yaani ujue no ya mtu tu kisha uhack details zake bila kushika simu ya muhusika?
Labda awe anafanya kazi kwenye mitandao husika kama voda au tigo nk
Hii inawezekana mkuu.tena dakika haiish[emoji12] [emoji12]
 
I wonder if it's not against the law to track someone's phone without their consent!
 
I wonder if it's not against the law to track someone's phone without their consent!
Hii ni against sheria zote za kimataifa sio kitaifa tu.sheria za kimataifa ku huck n zambi ukikamatwa lazma ule umeme tu.

Japo inasaidia ila n headache sana, usiombe umfanyie hii kitu bi wife au kidem chako utauwa kama huna roho ya kuume
 
Huko USA ni kosa kisheria kumtrack hata wife wako, akikukamata akakupeleka kwa pilato lazima ule mvua! Nashangaa watu wanafundishana namna ya kuvunja sheria, tena bila woga!
Kwenye mada za fyongo kama hizi ndo tulitegemea wanasheria wazipinge kwa kutoa elimu ya sheria; lakini wapi!
 
Ndo maana jamaa kaanza kwa onyo!! Ni kinyume cha sheria kufanya jambo hili
 
Hata Tanzania ni kosa kudukua simu ya mtu yeyote akiwemo mke/mume wako.
 
@jakalukipele ,wanakuwa wanakutumia email,ambayo ndani mwake kuna link,
utapokea email halafu unafungua,ukiclick kwenye link tu,tayari unakuwa umeruhusu spy app,ambayo inakuwa hidden,huwezi ona?
Hiyo app ndo itatuma cordinate zako za mahali ulipo,
nilipata sehemu nikasoma juu juu,lakini hiyo ni mojawapo ya njia zinatumika kama mtu hawezi kuipata simu yako na kuipandikiza spy app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…