Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku truck simu ya mtu mwingine
Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake
Njia hizi za kutruck simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto wako au unayemuangalia ikiwa bado ni mdogo na yupo chini ya usimamizi wako..................zaidi ya hapo do it for your own risk
MAHITAJI YA UJUMLA
>Lazima unayetaka kumtrack awe na smartphone(kwa hapa nitaongelea Android)
>Hakikisha kwenye simu ya mlengwa ume enable unknown sources ili kuinstall apps nje ya google play
>Unapata nafasi ya kuwa na simu yake angala kwa dk 15(kulingana na ushap wako)ili uweze kudownload au kuhamishia hizo apps nakufanya installation bila mlengwa kujua
Njia ya kwanza
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forum
Tembelea hapo kuna full details ikiwemo maelekezo kwa picha
NB
hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya internet wakati unafanya installation
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri ku hide apps icon
Hakikisha unadownload XDA version http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298 na sio kutoka Google play wala Amazon
NJIA YA PILI
https://mobile-tracker-free.com/index.php
Tembele hapo soma kisha bofya "Install the application" kwa maelekezo zaidi ni vitu gani hii apps inaweza kutrack na niburee
NB
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri kuificha apps
ili uwe na uelewa mzuri wa nini unafanya nivizuri ukafanya mazoezi kwa kuinstall kwenye simu yako ili uone ni jinsi gani apps hizi zinavyo fanya kazi na pia upate uzoefu wa nini chakufanya bila kukose utakapotaka kuinstall kwenye simu ya mlengwa
Kama hujaelewa kitu uliza tuelekezane
This is very very dengerous kama unamtrack mpenzi wako simply becouse hakuna mkalimilifu
Unless kama humpendi unamtafutia sababu ya kuacha........unless otherwise usijaribu
Inashauriwa zaidi kutruck simu za watoto na wale tunaowaangalia chini ya usimamizi wetu ili wasitumie vibaya
This apps was not designed for trucking mambo ya mapenzi.............you have been warned
CC i think Kimboka JOHNKEKE WaKatende mmekutravella mawazoyangu Livingbuddy Richie @
Hiyo yapili unapofika hapo juu kabisa jaza jina na model no ya simu yako mfano LG 700Kaka nimejaribu kuinstall kwa njia ya pili ila imegoma kuna mahali imetaka aina ya phone na password sasa simu yangu haina password nikaweka ya email ambayo nimeregister nayo mara ikapotea kabisa
Hiyo yapili unapofika hapo juu kabisa jaza jina na model no ya simu yako mfano LG 700
Chini yake unabuni password simple ambayo ukiipiga hiyo password ndio apps itakua inafunguka maana utakua huioni hadi upige hizo password ulizobuni
itoe uanze upya au nenda kwenye apps zako utaikuta, ifungue itaanzia ilipoishia
Mkuu kinachotakiwa ni wewe kuipata simu A kwa muda mdogo tu ili uweze kuinstall hiyo app na baada ya hapo hutaigusa tena simu A baada ya kuwa tayari umeinstall hiyo appkaka mayu naona kwangu imetrack though ni simu zilizoingia na picha ila sijapata text nione kama itazitrack...now concern yangu ni kuwa ikiwa tayari kwa simu A na mimi ni simu B nawezaje kuiona kwangu bila kugusa simu yake...?
Mkuu kinachotakiwa ni wewe kuipata simu A kwa muda mdogo tu ili uweze kuinstall hiyo app na baada ya hapo hutaigusa tena simu A baada ya kuwa tayari umeinstall hiyo app
Bila kuipata simu A na kuinstall huwezi kuitrack
Unapokua unainstall pale unapoingiza password na simu model unachagua pia vitu unavyo taka kuvitrack kama calls register, calls recording, sms na location
vitu kama whatssap na fb, kurecodi surrounding na kupiga picha lazima simu A iwe rooted
umeinstall kwenye simu yako kufanya majaribio tu, ukitaka kuitrack simu A hakikisha unaipata simu yake na kuinstall vinginevyo haiwezekani mkuu
Nope huitaji tena kuigusa mkuuKaka nimekuelewa sana sasa ishu ni kuwa nikisha install kwa simu A wakati wa kutrack ni lazima nichukue tena simu yake niingize password ndo nione ama kuna way yoyote ambayo inaweza kurusha information kuja simu B ambayo ni yangu bila kuishika simu A
Njia yapili ni nzuri kwakuwa ina option na makorokocho kibao ila ipo complicated kidogo kumaster website
Yakwanza ipo simple ila inatrack calls register only, sms, location.
whatssap na fb hadi simu A iwe rooted
na utaitumia kwa siku saba tu
Thread serious iliyojaa busara na utaalamu.Kuna kitu kidogo nilitaka kusahihisha lakini nashindwa kwa sababu sipendagi kuweka doa kwenye nguo safi na nyeupe!Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku truck simu ya mtu mwingine