kama hukufanya maandalizi sahau, ila next time kama una pc nzuri na upo radhi kutoa hela kuilinda unaweza kuifanya ikiibiwa uweze kuipata. pc zote za intel za hivi karibuni zenye processor zinazosuport vpro zina kitu kinaitwa AMT ambacho kinamruhusu admin kutrack pc hata ikiwa imezimwa, imebadilishwa os, imetolewa hdd au hata ram. ila vitu kama hivi vinahitaji utaalamu zaidi hivyo inabidi ulipie sometime kwa mwezi au kwa mwaka ili kukitokea matatizo uweze kusaidiwa.
cheki zaidi hapa kuhusu vpro
Intel vPro - Wikipedia, the free encyclopedia