How to to fix a laptop blank white screen error

BobKinguti

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
228
87
habari zenu wakuu? Tafadhali naomba msaada nini nifanye ili kuondoa tatizo la white screen kwenye laptop yangu. Tatizo hili huwa halina formula, linaweza kutokea wakati nawasha computer, wakati na re-start computer, au wakati na-install a new software. Tatizo linapotokea, huwa na nazima computer then nasubiri dakika kadhaa halafu naiwasha tena, huwa inakubali na ninaendelea kutumia pc kama kawaida. Wakati mwingine inagoma kabisa mpaka inabidi ni-run window start up repair na nikiwa na bahati pc inakuwa stable inawaka in a normal way.

Wakati mwingine inatokea ninasurf through any web browser, nikii-minimize, nikatulia kwa dakika kadhaa, nikijakui-maximize, hili tatizo linatokea yaani hamna ninachoona kwenye screen zaidi ya white screen . Naendelea ku-google kutafuta chanzo na namna ya kutatua tatizo hili. Ushauri tafadhali!
 
Back
Top Bottom