ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Nimehangaika kujiunga na Deezer lakini nimeshindwa sipati activation code nimejaribu kudownload spotify kwenye Iphone yangu lakini siwezi kudownload kwenye App store
Je nifanyaje au kuna njia nyingine ya Kustream hiyo album natumia Iphone!
Je nifanyaje au kuna njia nyingine ya Kustream hiyo album natumia Iphone!