mkuu cloud service ni sehemu za kustore mafile online so wewe uliwahi kuzibackup hizo data huko? Au hiko kifaa chako automatic kinafanya backup?Tafadhali mwenye kufaham jinsi ya kuzipata contacts za cm (iphone) iliyopotea through icloud naomba msaada na kama inawezekana kuzipata kw kutumia device nyingne zaid ya zile za Apple. Ntashkuru
mkuu cloud service ni sehemu za kustore mafile online so wewe uliwahi kuzibackup hizo data huko? Au hiko kifaa chako automatic kinafanya backup?
Kama uliwahi then utakua na username na password za hio cloud service yake ingia kwa device yako mpya login kwenye cloud service yako halafu sync zitarudi