habari zenu wana jf ninatatizo kuhusu card reader yangu ninayotumia kuingizia nyimbo kwenye simu hivi karibuni nikijaribu kuingiza nyimbo inaniambia Remove write protection so sijui tatizo ni memory japo nimebadili kama mbili tatu bado it still the same so help plz.