Aina gani ya simu?
Ni mawazo yakoTCRA wako Njiani kukukamata soon na kukumbambika kesi ya mauaji get ready hizo simu za kuuziwa na mateja ni kama Kununua msala tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina gani ya simu?
afanye nini!? hii kitu inaitwa FACTORY RESET PROTECTION (FRP) na mbaya zaidi google huwa wanaupgrade security patch kila kukicha. Na kibaya zaidi hizi simu za android ili ushindwe kubypass FRP zinakuja na keyboard tofauti na ile ya google kwenye default setting. Kifupi kama simu sio yako kairudishe kwa mwenye nayo.Fanya factory reset
Itatoka tuHuwezi kuitoa, maana katika google accont kuna kitu kinaitea device manager na kina uwezo wa kuifunga na hata kuifuta simu na isitumike tena. Rudisha tu kwa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaifungua mpaka ikawa sawa kabisa na naweza kupiga simu na kupokea simu ila tatzo linakuja siwezi weka account nyingine ya gmail coz inaitaji ile iliokuwemo hapo awali ndo niweze ingiza hii mpya.afanye nini!? hii kitu inaitwa FACTORY RESET PROTECTION (FRP) na mbaya zaidi google huwa wanaupgrade security patch kila kukicha. Na kibaya zaidi hizi simu za android ili ushindwe kubypass FRP zinakuja na keyboard tofauti na ile ya google kwenye default setting. Kifupi kama simu sio yako kairudishe kwa mwenye nayo.
kama umeinunua kwa mtu mtafute akuwekee hiyo account then weka yako halafu delete yake tena.Nilishaifungua mpaka ikawa sawa kabisa na naweza kupiga simu na kupokea simu ila tatzo linakuja siwezi weka account nyingine ya gmail coz inaitaji ile iliokuwemo hapo awali ndo niweze ingiza hii mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ubaya wa wizi huo.Nilishaifungua mpaka ikawa sawa kabisa na naweza kupiga simu na kupokea simu ila tatzo linakuja siwezi weka account nyingine ya gmail coz inaitaji ile iliokuwemo hapo awali ndo niweze ingiza hii mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inakuaje mkuu?Kwa taarifa yako ukiwa tu online jamaa atakukamata maana device manager ina uwezo wa kuonyesha simu ipo wapi. Labda usiende online
Sent using Jamii Forums mobile app