pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
scholarship
Mbona mm nina G.P.A 3.0 ya udsm na nilifanikiwa kupata admission ya kusoma masterz mzumbe......Mmmh Moja ya qualification ya vyuo vingi hapa nchini ni watu wawe na GPA 3.5 kwa ajili kujiunga na masterz programmes, hata hivyo jaribu kuomba vyuo vya nje kwani sijui wao wanahitaji GPA ya ngapi?
Jaribu kupitia blog ya Makulilo au Scholar4Dev kwani kuna matangazo mengi ya scholarship huko
Kwa vyuo vya nje unatakiwa pia ufanye mitihani ya language proficiency kama IELTS au TOEFL ili kuwa na uhakika wa kupata kwani huwa wanahitaji sana hiyo kitu.
Mbona mm nina G.P.A 3.0 ya udsm na nilifanikiwa kupata admission ya kusoma masterz mzumbe......
Mmmh Moja ya qualification ya vyuo vingi hapa nchini ni watu wawe na GPA 3.5 kwa ajili kujiunga na masterz programmes, hata hivyo jaribu kuomba vyuo vya nje kwani sijui wao wanahitaji GPA ya ngapi?
Jaribu kupitia blog ya Makulilo au Scholar4Dev kwani kuna matangazo mengi ya scholarship huko
Kwa vyuo vya nje unatakiwa pia ufanye mitihani ya language proficiency kama IELTS au TOEFL ili kuwa na uhakika wa kupata kwani huwa wanahitaji sana hiyo kitu.
nipeni muda mpaka jumapili niandae page ntakayo weka hapa itakuwa na scholarships na fellowships nyingi nyingne kwa ajili ya tanzania na watu uwa hawa apply may be kwakuwa hawazioni au wanaogopa ku apply