Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani

Click jina la huyo unae taka kumtumia halafu click kwenye private message utaona sehemu ya kuandika title na message yenyewe
au jina la kwako kisha futa jina lako kwenye kibox cha users nauandike jina la huyo unaetaka kumtumia....
Nenda kwenye profile ya mtu unae taka kumtumia PM,upande wa kushoto soma taratibu utaona Send Private Message link,..njia rahisi zaidi ukizoea utajua short cut
Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani
Ukiangalia juu utaona vitu kama hapa chini .... ...
<LI class=welcomelink>Welcome, Ole settings My profile Notifications: .................................... Hapo juu kwenye notification kuna triangle ndogo ambayo ulibonyeza utaona kuna mahali pameandikwa Private Messages bonyeza hapo utakwenda moja kwa moja kwenye box la kubadilisha mambo mengi ie profile nk.
Kuna maneno yameandikwa Inbox nk
Bonyeza hiyo in box na utaona kwenye box lako kuna nini ukisoma chini kidogo ya inbox kuna maneno Sent Items Send new messages
track messages
Edit folders
Bonyeza kwenye Send new messages ... .... .... box lingine litafunguka na kukuuliza unataka kutuma message kwa nani nk ..... fuata maelezo ni rahisi sana ni kama unavyopeleka e-mail nk
BTW nimekutumia hii message kwenye in box yako ... ... .. nijibu ili nifahamu kwamba umefuzu mafunzo. karibu sana