How to move application

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Jamani na tatizo kidogo l hv samsung siii mini inaniambia phone memory imejaa....ila external memo ina nafasi nachotaka ni kumove application from phone memory to memory card
 
nenda Settings then applications then hapo chagua app moja mooja kuna baadhi unaweza move... Mfano viber, instagram ila kuna app kama Whatsapp huwez move so ukiona sehemu ya move to sd haipo active bas hio app huwez move... Ukiona papo active ndo unaeza move.... Ila kwa Urahisi nenda Playstore then search "app to sd" zpo tofaut tofaut... Install mojawapo ... Hz app znaeza detect app ambayo inaweza move to sd so ukii open inakuletea hzo app Na unazimove
 

Jamani na mimi pia nina tatizo kama hili ila mimi ninatumia lg p705.Tatizo ni kuwa applications nyingi nilizodaunlodi zimeingia kwenye internal sd card ambayo ni kama gb 3 na ushehe na kukariibia kuijaza kabisa ingawa nimeweka external sd card yenye 16gb.
1) Nifanyeje ili downloads zote ziende kwenye external sd card?
2)Ram ya hii simu naona imejaa kiasi kwamba imebaki 20% ya ram ndo natumia. Nifanyeje ili ram isijae?
3)Simu yangu inakwama kwama sana, je, tatizo hili huenda limetokana na hayo mawili hapo juu?
 

jaribu Kutafta App Hyo inaitwa App To sd!!
 
Nilitafuta tena nikapata kama nne hivi ila zote hazifunction. yaani zinakuwa hazina option ya ku move to external sd card.

kama Ni Hivyo Hapo Move Hzo App Manualy Kama Alivyo eka Pcha C6 apooo
 
Last edited by a moderator:
Nilitafuta tena nikapata kama nne hivi ila zote hazifunction. yaani zinakuwa hazina option ya ku move to external sd card.

Mi mwenyewe hivyo hivyo imekataa natumia gallaxy s3 mini
 
Hapo wakuu ina bidi mzi root simu zenu...tafuta thread ya how to root ipo humu humu jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…