how to install rbr2011(richard burns rally 2011) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to install rbr2011(richard burns rally 2011)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by snochet, Nov 7, 2011.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwa yeyote mwenye ufahamu jinsi ya ku-install file za richard burns rally 2011 naomba anihabarishe,niliagiziwa kwamba una install file zote 6 in ascending order lakini bado inagoma,naomba msaada wenu tafadhali
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  weka powe iso kwenye computer yako then i restart, utaona kwenye comp yako imeongezeka cd rom nyingine mfano ikiwa na jina G then fungua folder yenye ma file ya rbr2011 right click file la kwanza chagua sehemu ilipo power iso itakuletea option nenda kwenye sehemu iliyo andikwa mount to the select hiyo cd rom iliyoongezeka mfano G then rudi kwenye my computer uiclick hiyo cd drive iliyoongezeka installation itaanza baada ya muda itakwambia insert cd 2 rudi kwenye file la pili urudia process ka za awali lakini kwenye file la pili lakini ukisha mount file la pili usirudi kwenye cd rom we click ok then yenyewe automaticaly itaendelea fanya hivyo kwa mafile yote mpaka la sita then ndo kazi itakuwa imekwisha
   
Loading...