how to install mac os X on local computers

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Habari waheshimiwa...kutokana na ujuzi wangu mac os nitofauti kabisa na ile ya microsoft..watu wa macintosh wana business philosophy tofauti ya ile ya microsoft. Wakati mac wakiwa wanataka to have a full controll of their products kuanzia kuunda pc's zao wenyewe na zenye OS yakwao wenyewe windows wao wamekuwa na business philosophy inayo sisitiza partnership kwenye biashara na hii ndo sababu brand tofauti za computers huwa zina kubali kuwa loaded na windows na other operating systems...kutokana na restriction hii ya wana mac..ningependa kufahamu ni jinsi gani computer technicians and hackers wanavoweza kuinstall MAC oS kwenye brand nyingine za pC's including dell au toshiba
 
hicho kitu hakiwezekani kwasababu ya different hardware archtecture used to develop mac and ibm compatible computers
 
Habari waheshimiwa...kutokana na ujuzi wangu mac os nitofauti kabisa na ile ya microsoft..watu wa macintosh wana business philosophy tofauti ya ile ya microsoft. Wakati mac wakiwa wanataka to have a full controll of their products kuanzia kuunda pc's zao wenyewe na zenye OS yakwao wenyewe windows wao wamekuwa na business philosophy inayo sisitiza partnership kwenye biashara na hii ndo sababu brand tofauti za computers huwa zina kubali kuwa loaded na windows na other operating systems...kutokana na restriction hii ya wana mac..ningependa kufahamu ni jinsi gani computer technicians and hackers wanavoweza kuinstall MAC oS kwenye brand nyingine za pC's including dell au toshiba
kuinstall mac os kwenye ibm compatible computer kwa sasa ni kitu ambacho hakiwezekani kutokana kuwa na utofauti wa instruction set kati ya procesor za mac na za computer njingine ambazo nyingi hutumia intel. Lakini sikuhizi mac wametoa computer ambazo zina2mia procesor za intel hivyo kuifanya computer hio kuweza ku run mac os na windows.
 
nilijaribu hii kitu ka pcmwaka jana hivi mwanzoni ilikuwa kazinyingi na baada ya kumaliza project hata haikuwa stable kwa pc na baada ya siku nne za kulazimisha ikaua mashine…… bora ununue to a mac mashine kama waweza
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
ninapenda sana mac oS ila shida inakuja kwenye gharama za mac book dukani..ya bei rahisi niliiona ikiuzwa mili 1.4 na ilikuwa ndogo sana sikuvutiwa nayo
 
kwani mkuu wataka laptop au desktop mimi naona laptop ndiokidogo ni bei nafuu kulingana napia inamanufaa mengi zaidi ya desktop.Mimi ningekushauri kama unaweza kuwa mawasiliano na mtu ambaye anaishi australia au US wakununulie huko kwani taxi za makomputer zinazifanya zile laptop kuwa bei nafuu kidogo. Unaweza pata refubrish macbook pro kwa $1000 ya mwakajana kutoka kwenye maduka ya apple online.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom