How to create Customized windows installation disc

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Nadhani ushawahi kukutana na windows installation setup ambayo haifanani na ile original ya microsoft. Zipo nyingi mfano, black xp, lite xp, lite vista, lite 7, vista xp, n.k! Leo nataka kushea na wadau jinsi ya kucustomize windows xp au vista au 7,
1. Copy cd nzima ya installation kwenye hard disk ya computer yako
2. Kwa kutumia deployment program(mimi uwa natumia nlite kwa winxp na vlite kwa vista)
3. Ni rahisi kuitumia, fuata maelekezo na utakuwa umetengeneza yako ya kipekee
Nb: nlite inakuwezesha kuweka drivers, theme zako, kuweka program zako na kupunguza ukubwa wa instalation kwa kuondoa usivyovitaka mfano games za internet,
 
ahsante mkuu kwa hayo maskills.
 
Thax ila pia tutashukuru ukituwekea link ya kudownload hiyo sofware ya kufanyia ndingo hizo.Pia nimekuwa nikiona baadhi ya ubuntu version zimekuwa zikifanyiwa hii customization unakuta ina soft kibao huitaj kudownload je nayo inatengenezwaje?
 
Back
Top Bottom