how to increase utorrent speed

how to increase utorrent speed

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
habari wakuu,
Naomba msaada wa kuongeza speed ya kudownload kwenye utorrent mana ipo slow tofauti na nikidownload kitu kwenye maxthon download manager
 
angalia comments za hiyo link hapo. nyingi zao ni negative. most of the time zile default values ni bora au tuseme ndio optimal settings, labda mtu upunguze upload speed kwani ISP wetu wengi ni vimeo katika upload speed.....
kama bado inajikokota jaribu kutumia http torrents download kama vile zbigz na wenziwe lakini unahitaji mshiko kidogo (kama elfu 20 kwa miezi 6) ili utumie premium service...... au speed yako itakua 150kb/s maximum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom