How to identify twins

How to identify twins

Mmoja ana sura nene/pana na mwingine sura nyembamba pia mmoja ana nyusi nyingi kuliko mwingine....mimi nimegundua hivyo
 
Hawa wajafanana sana nna cousin zangu hadi leo siwajui tofauti zao

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
unawtofautisha kwa tshirt zao angaria a&b

Hawa wajafanana sana nna cousin zangu hadi leo siwajui tofauti zao

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wazuri sana farkhina njoo uone
twin-ctrl-c-ctrl-v.jpg
 
Back
Top Bottom