Mbona Wahindi wanaishi hata na gmil sambamba na mil lakini maisha ni bien
Culture, ndoa nyingi za kihindi wanaoana kwa kujuana, mtoto wako wewe anaoa mtoto wa best friend wako ambae mlisoma wote au ni business partner wako. Hii mara nyingi ni kuhakikisha mali haiendi mbali, binti kama huyo atakuchukulia wewe na mkeo kama wazazi wake.Mbona Wahindi wanaishi hata na gmil sambamba na mil lakini maisha ni bien
Ninadhani ukijiweka kuwa ipo siku na wewe pia utakuwa mama mkwe, jaribu kumwelewa na kumheshimu. Lakini asikubadilishe.Yataka moyo sana, especially mama wakwe zetu na pia mazingira yetu ya kinyumbani ambapo culture can play a big role.
Ninadhani ukijiweka kuwa ipo siku na wewe pia utakuwa mama mkwe, jaribu kumwelewa na kumheshimu. Lakini asikubadilishe.
Ukisha fahamu kiini cha matatizo inakuwa rahisi kuyatatua, matatizo mengi yakuwa ni class, anafikiria wewe si wa class yao, wewe hufanyi vitu vile anavyotaka yeye. Ukijaribu kubadilika itakusumbua sana.Hii hekima, lakini kuna wengine inakuwa ngumu.
Sio best friend ndugu ila mtoto wa baba mkubwa anaoa au kuolewa na mtoto wa baba mdogo kulinda mali ya familia, mara nyingi ukiibuka ugomvi ktk mahusiano haya huitwa ugomvi wa familia coz hauna pande mbili.Culture, ndoa nyingi za kihindi wanaoana kwa kujuana, mtoto wako wewe anaoa mtoto wa best friend wako ambae mlisoma wote au ni business partner wako. Hii mara nyingi ni kuhakikisha mali haiendi mbali, binti kama huyo atakuchukulia wewe na mkeo kama wazazi wake.
Hujaolewa?Mungu aniepushie mbali na mama wakwe waswahili,ni tatizo.
Nimeshaona Wahindi ambao ni share holders kwenye biashara, waamua kuoza watoto wao, wengine ni kutokana na professinals za, unakuta lawyers walisoma pamoja, wamefungua law firm pamoja, wanawekeza kwenye elimu ya watoto kufuata mfumo wa sheria na wanakuja kuoana na kuendeleza kilichoanzishwa na wazazi wao.Sio best friend ndugu ila mtoto wa baba mkubwa anaoa au kuolewa na mtoto wa baba mdogo kulinda mali ya familia, mara nyingi ukiibuka ugomvi ktk mahusiano haya huitwa ugomvi wa familia coz hauna pande mbili.
Niliweka Wahindi mwanzo kujibu hoja ya mkuu kampelewele.Sio wahindi tu kwa nilichokieleza hapo juu ila hata Wapemba wengi wapo hapa ktk kulinda mali isitapanywe. Ila kiukweli wengi nia yao kubwa ni kulinda mali na fedha tu sio kitu kingine.
Ukisha fahamu kiini cha matatizo inakuwa rahisi kuyatatua, matatizo mengi yakuwa ni class, anafikiria wewe si wa class yao, wewe hufanyi vitu vile anavyotaka yeye. Ukijaribu kubadilika itakusumbua sana.
mama diamond vepeee!!Mungu aniepushie mbali na mama wakwe waswahili,ni tatizo.
ila hii culture ni nzuri sana hata ukisoma biblia ndo ilikuwa inatumikaCulture, ndoa nyingi za kihindi wanaoana kwa kujuana, mtoto wako wewe anaoa mtoto wa best friend wako ambae mlisoma wote au ni business partner wako. Hii mara nyingi ni kuhakikisha mali haiendi mbali, binti kama huyo atakuchukulia wewe na mkeo kama wazazi wake.
Anakuja kusalimia anaanza kubadilisha ratiba za nyumba, watoto wanatakiwa walale saa hii, mimi sikulea wanangu hivi..Unamwambia mama hawa ni wajukuu wako lakini ni watoto wangu mimi.Haya mambo ya class kwa kweli yanakuaga magumu. Si vizuri kuingia mahali ambapo mmoja atanyanyasika.
Lakini kama ma mkwe yuko kwangu, it's not fair atake nifanye vile anataka yeye. If she's at my house she should play by my rules. Of course heshima itabaki pale pale lakini kwa mengine, she'll have to go with my flow...thory.
Cha muhimu ufahamu utakae ishi nae ni mwanaume, kama mnadate na unampenda, ndugu msiwaruhusu waingie na kujua sana mahusiano yenu.ila hii culture ni nzuri sana hata ukisoma biblia ndo ilikuwa inatumika
leo mtu wa musoma anaoa songea huko mpaka mje msomane sio leo mshaumizana sana
sio rahisi kibongobongo mamiliciousCha muhimu ufahamu utakae ishi nae ni mwanaume, kama mnadate na unampenda, ndugu msiwaruhusu waingie na kujua sana mahusiano yenu.