Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Mkuu,
Uki hack utani pm na mie nijilie vyangu. Natumia Techno N 7 na kwa msaada wenu wa VPN Droid nafaidi sana internet connection bureeee....
Mkuu sheria hairuhusu. Sheria ninayozungumza ni ya uelewa wako kuwa kitendo hicho si kizuri unahujumu jitihada za wengine kufanya maendeleo