hawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya kushusha mizigo tujuzane!!!!
Lo! Watanzania ufisadi uko kwenye damu jamani!Mkuu nimekufuata PM maana hawa watu na mm nawavizia siku nyingi
Kama unayo modem yao lazima tufanikiwe kupata jibu kama ni possible au la
Lo! Watanzania ufisadi uko kwenye damu jamani!
Kuna siku utakuja kuhackiwa wewe ndo utajuwa unachowaza ni wizi myupuhawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya kushusha mizigo tujuzane!!!!
Hivi ni mimi naishi kijijini ama, maana hapa Oysterbay hiyo smile na modem yao ya wireless iko slow tu, tena tunashare computer mbili tu, mimi imenishinda nimerudi voda
In a normal day I used to get 25mbps down and like 5mbps up, in a good day ni over 30mbps down na 8-10mbps up... That trashes out kila cellular provider bongo, or at least for me mbezi beach
screenshot on g+ if you need a proof...
Mbona unaharibu reputation yako uliyokwisha ijenga wewe kama reseller wa VPN ya uhakika?Mkuu nimekufuata PM maana hawa watu na mm nawavizia siku nyingi
Kama unayo modem yao lazima tufanikiwe kupata jibu kama ni possible au la
bona daaah yani hii sasa imekuwa too much, sie sasa tutakuwa hatujihangaishi kulipia huduma isipokuwa kuwaibia wanaotoa huduma, mwenyewe umekiri huduma ni nzuri na cost iko juu, hapo kuna option mbili1. kama unaweza lipia gharama ufaudu2. La, endelea kutumia huduma za kasi ya kawaida ambayo unaimudu wewe, sio lazima uibe kama huna uwezo wa kupata vitu vya bei ya juu
nakubaliana na wewe mkuu, hii ni too much. quality ni directly proportional to prices. hamna vizuri vya bure
guys we only want to get the fair price..... hili ni jukwaa la thinkers... cost za internet hapa bongo ni kubwa sana kulinganisha na nchi nyingi duniani so what we do is at least to get even!!!!
hawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya kushusha mizigo tujuzane!!!!
Pamoja yakuwakilisha udhaifu wa fikra za kutokuheshimu haki za wengine; hapa mkuu umetia aibu. Naelewa ndio udhaifu wa kifikra kwa Watanzania kutaka dezo toka mkuu wa nchi hadi mateja, lakini nakuhakikishia hapo ndipo tunakosa elimu. Kwa sababu kuhack ni ukosefu wa "moral responsibility". Kwa bahati mbaya imekuwa si sehemu ya elimu yetu wala mkakati wa maendeleo yetu.
PLEASE STOP THIS KIND OF MENTALITY