sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
sijui nini Hilo sources folder mbona kwangu silioni?
lazima liwepo, setup ya win 7 na 8 uwa inalo hilo folder
ndugu hii program ni kama unatumia win 8, kwa kawaida baada ya kuinstall tu win 8 kuna aadhi ya programs huwa zinagoma ku install mpaka uweke Net Framework 3.5 na inataka uende online..so kwa njia hii unaweza install hiiyo kitu (NF 3.5) bila kutumia Internet.wadau embu tupeni maujanja hii programu ni ya nini nami ningependa kujua
mkuu hutakiwi kufungua kwenye local disc bali ni kwenye CD ya win 8 uliyotumia kuinstall al labda kama uli save setup files za win 8 kwenye pc yako na si folder la windows la kwenye local disk c..Nikifungua Local Disc C ambapo Win 8 ipo humo ma folder ambayo yapo ni KAV, LANGUAGES, PERFLOGS, PROGRAM FILES, TOOLBAR, USERS na WINDOWS. Folder nililoliona ni la "Resources" na sio "Sources".
Nimejaribu kuli create mwenyewe nikaambiwa installation imekuwa successfully, ila baadae nilivyo restart compyuta inanaiambia ni install tena NET. Na nikifanya installations online ina download ikifika sehemu flani inaniletea "downloading error".
ndugu hii program ni kama unatumia win 8, kwa kawaida baada ya kuinstall tu win 8 kuna aadhi ya programs huwa zinagoma ku install mpaka uweke Net Framework 3.5 na inataka uende online..so kwa njia hii unaweza install hiiyo kitu (NF 3.5) bila kutumia Internet.
Nikifungua Local Disc C ambapo Win 8 ipo humo ma folder ambayo yapo ni KAV, LANGUAGES, PERFLOGS, PROGRAM FILES, TOOLBAR, USERS na WINDOWS. Folder nililoliona ni la "Resources" na sio "Sources".
Nimejaribu kuli create mwenyewe nikaambiwa installation imekuwa successfully, ila baadae nilivyo restart compyuta inanaiambia ni install tena NET. Na nikifanya installations online ina download ikifika sehemu flani inaniletea "downloading error".
hilo foldet lipo kwenye cd/dvd/iso ya windows 8 sio kwenye c:/windows/
Sijui nini said:mkuu hutakiwi kufungua kwenye local disc bali
ni kwenye CD ya win 8 uliyotumia kuinstall al
labda kama uli save setup files za win 8
kwenye pc yako na si folder la windows la
kwenye local disk c..