How to enable .NET Framework 3.5 on Windows 8 in Offline Mode

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Kwa wale wapenzi wa window 8 kuna hii kitu ya Net framework 3.5 huwa inaboa sana sometimes hasa ukiwa huna internet na unataka kuinstall kitu huwa inagoma..sasa kuna hii njia nimeikuta mahali, kwa wale waliokwisha ijua hewala na kwa wale waliokuwa hawajui wabebe..

ili nisipoteze mda naomba nii copy na kupaste kama ilivyo: Source

Microsoft's latest OS Windows 8 comes with version 4.5 of .NET Framework which is required to run software programs developed using the same version of .NET. But there is one slight problem! Most of the existing software require version 3.5 of .NET Framework installed to be able to run. When you try to install .NET Framework 3.5 in Windows 8, it asks you to connect to Internet to download required installation files.
For people who don't have Internet connection or who don't want to waste their Internet connection bandwidth in downloading .NET Framework 3.5 files from Internet, we shared a tutorial in past to install .NET Framework 3.5 offline in Windows 8 without Internet connection:
How to Install Microsoft .NET Framework 3.5 Offline in Windows 8 without Internet Connection?
The method mentioned in the above article works fine in all editions of Windows 8 but sometimes a few people face problems while installing .NET Framework 3.5 offline. Some people get error messages while executing the command. Most of the times these problems occur due to incorrect syntax in command or due to insufficient permissions.
To solve all these problems today in this article, we are going to share a free, small and portable tool for all Windows 8 users. This small utility has been developed by AskVG reader "Cedric Poottaren", so big thanks goes to him.
"Microsoft .NET Framework 3.5 Offline Installer" is a freeware created for Windows 8 which helps you in installing .NET Framework 3.5 in your system without any need of Internet connection.
Microsoft_Dot_Net_Framework_Offline_Installer_Windows_8.png

You just need to insert your Windows 8 setup disc in your CD/DVD drive and then select the correct drive letter in the freeware and then click on "Install" button. That's it. It'll automatically execute the required command and will install .NET Framework 3.5 in Windows 8.
If you don't have Windows 8 setup disc or if you don't want to install .NET Framework 3.5 from setup disc, you can use the setup folder of Windows 8 present on your hard drive. For example, if you copied Windows 8 setup files in E:\ drive of your hard disk, you can click on "Browse" button given in the freeware and then go to the Windows 8 setup folder. Select "sxs" folder present under "sources" folder and then click on "Install" button to install .NET Framework 3.5 in your system.
This small piece of software also provides debugging options for advanced users. You can go to "Configuration" tab and enable the option to show installation process. It'll help you in finding the culprit in case you face any problem while installing .NET Framework 3.5 in Windows 8.
This software will work in both 32-bit (x86) and 64-bit (x64) editions of Windows 8. You'll need to run the software with Administrator privileges by right-click on the program icon and select "Run as Administrator" option. Its required because the method only works if the user has Administrator privileges.
You can download the software using following link:
Download Microsoft .NET Framework 3.5 Offline Installer for Windows 8

ANGALIZO:
kama unatumia cd ya windows zile za All in One (yaani cd inakuwa na version zaidi ya moja ya window) hii njia huwa inazingua kias, inataka cd iliyo singe version..kwa upande wangu mimi ilinigomea mpaka nilipotumia cd ya windows 8 preview.

dah bora umetusaidia mimi nilikuwa nalazimika mara zote kuweka nikiwa online,kmbembe kinakuja ukiwa huna bundle!!!
 
mi nilijua hili sio tatizo tena, mie cd zangu za windows 8 uwa nazi automate zi install .net framework 3.5 baada ya setup yake kuisha maana uwa zinachosha
 
lazima liwepo, setup ya win 7 na 8 uwa inalo hilo folder

Nikifungua Local Disc C ambapo Win 8 ipo humo ma folder ambayo yapo ni KAV, LANGUAGES, PERFLOGS, PROGRAM FILES, TOOLBAR, USERS na WINDOWS. Folder nililoliona ni la "Resources" na sio "Sources".
Nimejaribu kuli create mwenyewe nikaambiwa installation imekuwa successfully, ila baadae nilivyo restart compyuta inanaiambia ni install tena NET. Na nikifanya installations online ina download ikifika sehemu flani inaniletea "downloading error".
 
wadau embu tupeni maujanja hii programu ni ya nini nami ningependa kujua
ndugu hii program ni kama unatumia win 8, kwa kawaida baada ya kuinstall tu win 8 kuna aadhi ya programs huwa zinagoma ku install mpaka uweke Net Framework 3.5 na inataka uende online..so kwa njia hii unaweza install hiiyo kitu (NF 3.5) bila kutumia Internet.
 
Nikifungua Local Disc C ambapo Win 8 ipo humo ma folder ambayo yapo ni KAV, LANGUAGES, PERFLOGS, PROGRAM FILES, TOOLBAR, USERS na WINDOWS. Folder nililoliona ni la "Resources" na sio "Sources".
Nimejaribu kuli create mwenyewe nikaambiwa installation imekuwa successfully, ila baadae nilivyo restart compyuta inanaiambia ni install tena NET. Na nikifanya installations online ina download ikifika sehemu flani inaniletea "downloading error".
mkuu hutakiwi kufungua kwenye local disc bali ni kwenye CD ya win 8 uliyotumia kuinstall al labda kama uli save setup files za win 8 kwenye pc yako na si folder la windows la kwenye local disk c..
 
nashukuru kwa majibu yako mazuri.
Nami natumia win 8,bado sijakutana na hiyo kasheshe.
Ntajianda mapema kwa elimu iliyotolewa
asanteni sana
ndugu hii program ni kama unatumia win 8, kwa kawaida baada ya kuinstall tu win 8 kuna aadhi ya programs huwa zinagoma ku install mpaka uweke Net Framework 3.5 na inataka uende online..so kwa njia hii unaweza install hiiyo kitu (NF 3.5) bila kutumia Internet.
 
Nikifungua Local Disc C ambapo Win 8 ipo humo ma folder ambayo yapo ni KAV, LANGUAGES, PERFLOGS, PROGRAM FILES, TOOLBAR, USERS na WINDOWS. Folder nililoliona ni la "Resources" na sio "Sources".
Nimejaribu kuli create mwenyewe nikaambiwa installation imekuwa successfully, ila baadae nilivyo restart compyuta inanaiambia ni install tena NET. Na nikifanya installations online ina download ikifika sehemu flani inaniletea "downloading error".

hilo foldet lipo kwenye cd/dvd/iso ya windows 8 sio kwenye c:/windows/
 
hilo foldet lipo kwenye cd/dvd/iso ya windows 8 sio kwenye c:/windows/

Thanx wakuu nimekuelewa, Itabidi nimtafute aliyenifanyia installation manake hivi vitu wengine vimetupita kushoto kidogo.
Sijui nini said:
mkuu hutakiwi kufungua kwenye local disc bali
ni kwenye CD ya win 8 uliyotumia kuinstall al
labda kama uli save setup files za win 8
kwenye pc yako na si folder la windows la
kwenye local disk c..
 
Back
Top Bottom