STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 74
wadau naomba msaada wenu kuhusu namna ya kuwezesha simu ya tecno c8 kuwa na uweza wa kushika 3g yenye frequency ya 850mhz.hii itansaidia hata nkiwa nje kidogo ya mjini kuwa na uwezo wa kuaccess internet ya 3g kwa ku roam. axante xana. nawakaribisha sana wanateknolojia wa jamiiforums