Jamani wadau naombeni mnisasidie nijue namna ya kudownload miziki kutoka kwenye web mimi ni mpenzi wa miziki lakini sijjui nifanyeje , msaada wadau na wapenzi wa muziiki
Sasa nenda kwenye google search engine, andika wapdam.com, halafu itakuletea wapdam.com fungua utapata nyimbo za kila aina hata bongo fleva ya zamani, naamini ni rahisi sana.