How to display wholesale shop? Share pictures & idea

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
Biashara ni brand, brand ndo biashara umeona ma'company mbalimbali yakiwatumia watu wenye ushawishi katika jamii kutangaza biashara zao? Well....

Wholesale SHOP haiwezi kuwa Kama duka la kawaida ili kuvutia wajeta unatakiwa u-dsiplay for wholesale brand
 
Most of time maduka ya Jumla hayana mbwbwe, unamvutia nani? Maana B2B most of times muuzaji na mnunuaji Wana uelewa wa bidhaa husika, quality na bei ndio kigezo kikubwa cha biashara ya Jumla.
 
Brand wholesale
lak_kley_kraski.jpg
 
Most of time maduka ya Jumla hayana mbwbwe, unamvutia nani? Maana B2B most of times muuzaji na mnunuaji Wana uelewa wa bidhaa husika, quality na bei ndio kigezo kikubwa cha biashara ya Jumla.
most lazima wajuee unauza bidhaa zipi,mteja anapokuja dukani kwako atahitaji akute Simple then akiweka Oda unaingia Store

Yes nimeona maduka mengi ya jumla wakiweka vitu store...huku dukani ikiwa nisehemu ya kupokea Oda za wateja ( hawa ndo wale wapo brand na bidhaa ambazo zimewapa umaarufu)
 
Back
Top Bottom