How To Crash Your Friend’s WhatsApp

How To Crash Your Friend’s WhatsApp

Hapo ina maanisha unatumia simu ambayo haitumii android os au kweli unatumia android ila memory allocated na whatsapp kwa ajir ya kutunza message( temporary ) bado haijazidiwa

Hata mimi nilifikiria hilo pia, kwa hiyo yeye katuma message ndefu kuliko inavyoruhusiwa na Whatsapp, lakini haijafikia kiwango cha ku crash system bado?

Wangetakiwa kufanya check ya ukubwa wa mesage kabla ya kutuma.

pseudocode

Do
message.size.check
If message > xkb display "Mesage too big, reduce size"
Else send

Kama inazidi size haitumwi, inakuambia mtumaji message kubwa sana uipunguze.
 
Hapo ina maanisha unatumia simu ambayo haitumii android os.
Kama umepost kwenye group wanaotumia android wamekua affected

Natumia adroid, na niliyo watumia wanatumia android.....
 
Hata mimi nilifikiria hilo pia, kwa hiyo yeye katuma message ndefu kuliko inavyoruhusiwa na Whatsapp, lakini haijafikia kiwango cha ku crash system bado?

Wangetakiwa kufanya check ya ukubwa wa mesage kabla ya kutuma.

pseudocode

Do
message.size.check
If message > xkb display "Mesage too big, reduce size"
Else send

Kama inazidi size haitumwi, inakuambia mtumaji message kubwa sana uipunguze.
Hiyo ndio solution ya tatizo hilo.

Ila badala ya kudisplay message to big reduce size,kwanini usi-allocate new memory yenye size ya message husika. Na kufree old memory
 
Hiyo ndio solution ya tatizo hilo.

Ila badala ya kudisplay message to big reduce ,kwanini usi-create new memory yenye size ya message husika. Na kufree old memory

Sasa kwa nini platform kubwa kama Whatsapp hawajaona hili?

Ina maana hawana UAT?
 
Nilitaka kujaribu nikaona isije kuwa unatuwekea virusi bure.

Mara tu tumetengeneza Strokenet worm Whatsapp.

Reverse engineering is real.
 
Sasa kwanini ucrash whatsapp ya mwenzio jamani? Mie nataka niwe naona charting za mke wangu kwangu.
 
A.Make Someone Leave a WhatsApp Group B.Force them to Delete your old WhatsApp Conversation C.Crash their WhatsAppWhatsApp ina-crash ukituma message yeyote inayozidi 2k ya memoryJust copy this Message and Send it to that Person or Group :
Haijafanya lolote kwangu nimejaribu kwenye both devices....Nokia E5 i mean symbian n G Flex Lg android haija crush kwangu wala kwa nilio watumia naona wapo online tu wananishangaai keep blamming my self why i've tried this out to test Zuckerberg Skills. Plank
 
Sometimes, shit happens. good shit, bad shit, crazy shit. but the most important shit... the shit that matters most... well, you have to make that shit happen!
 
Sometimes, shit happens. good shit, bad shit, crazy shit. but the most important shit... the shit that matters most... well, you have to make that shit happen!

Kwahiyo you were playing with people mindset ?
Kweli the world of netsec isn't exactly a piece of cake..
 
Back
Top Bottom