How to copy crack patch into directory

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory.. Hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory.
 
wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory..hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory...

Iweke kule ambapo ume-install hiyo program yako ya IDM
 
nikiweka kweny idm kule inagoma ku copy..inasema imekua interupted

Ili kuweka kitu kwenye program files inabidi uwe na administrator privilege hivyo make sure.

1.umelog in kama admin

2.hutumii software za kucopy
 
ili kuweka kitu kwenye program files inabidi uwe na administrator privilege hivyo make sure
1.umelog in kama admin
2.hutumii software za kucopy

Ok mkuu labda hii super copier ndo inaleta shida..ngoja nijarbu ku deactivate nione.
 
ili kuweka kitu kwenye program files inabidi uwe na administrator privilege hivyo make sure
1.umelog in kama admin
2.hutumii software za kucopy

Thanks mkuu baada ya kuzima super copier imekubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…