how to connect printer on pc

yuppie boy

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
213
49
wanajamii wenzangu naombeni msaada wa jinsi ya kukonect hp printer deskjet D4363 kwenye window xp kila nikiconect through usb port inasema device not recognised.kama kuna mtu anayejua naomba anisaidie
 
Chomoa printer restart, ingiza Driver Cd kwenye computer, nenda my computer fungua CD, run setup, fuata maelekezo, utaambiwa wakati wa kuchomeka printer.
 
kama uko dar hapa tuwasiliane kesho nije installation nafanya ni email pressdown@hotmail.com
sasa mkuu kama inasema "device not recognized" wewe utainstall kitu gani? maana ili uinstall ni lazima printer iwe detected kwanza na pc then ndo ujue printer ni nzima na ports zipo poa na kwa kawaida kabla hujaweka printer ni lazima uanze installationa kwanza then ifike mahali idai uweke printer na tatizo linakuja hapo ikiwa printer haiwi recognized manake na installation itabuma...so la msingi ni kujua kwa nini printer haiwi recognised???? sasa mtu wa kujibu mwenyewe kakaa kimya!
 
sasa mkuu kama inasema "device not recognized" wewe utainstall kitu gani? maana ili uinstall ni lazima printer iwe detected kwanza na pc then ndo ujue printer ni nzima na ports zipo poa na kwa kawaida kabla hujaweka printer ni lazima uanze installationa kwanza then ifike mahali idai uweke printer na tatizo linakuja hapo ikiwa printer haiwi recognized manake na installation itabuma...so la msingi ni kujua kwa nini printer haiwi recognised???? sasa mtu wa kujibu mwenyewe kakaa kimya!

samahani wakuu jana sikuwa hewani leo nimerudi.
Kaka Kama ulivyosema kuhusu installation nimefanya fresh mpaka inafikia sehemu inaniambia nikonect printer au nimalize installation nikonect baadae.tatizo nikikonect ndio inaniambia device not recognised kwa kutumia usb cable iliyokuja na printer.nimejaribu kuangalia trouble shooting imeniambia nitumie cable ya lpt1,
 
not yet mkuu still inakataa

  • Je USB device nyingine zinafnya kazi vizuri? Kama ni jibu n ndio basi tatzio laweza kuwa ni drivers specific za usb cbale za printer
  • USB cable unayotumia una uhakika ndio inayotikwa? Kaa uhttps://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/189670-how-to-connect-printer-on-pc.html#post2782377naweza kuazima cable jirani jirani itausaidia kujua ama cbal unaytumia si tatizo
  • Kwenye computer device manager drivers USB drivers zilizokuwa installed hakuna yenye matatizo? Isije kuwa wakati wa installtion wewe unainstall priter kwenye port amabyo siyo USB port
Nini cha kujribu kufanya kingine
  • Pakua driver za kutoka hp Desjet driver kchukua hilo file la
    s.gif
    DJ_SF_03_D4300_NonNet_Basic_Win_WW_110_189_NB.exe
  • Jaribu kucheki maelezo haya ya how to solve USb device not detetcted mKatika apendekezo mojawapo linahusiana na tatizo specifi la Windows XP nakulisove inabidi uendekwenye registry. N wanaupa kiunganishi cha Microsoft kukuguide ku edit registry
..Specifically for Windows XP, there is another possible solution that is related to the Windows Registry. This pertains to removing the UpperFilters and LowerFilters registry values. Microsoft has a knowledge base article on how to do this.



otherwise weka exactcly error message inayotokea tukusadie ku gooogle au kuqeury tovuti ya HP
 
hasanteni sana wanajamii kwa misaada yenu mnayonipa ninaifanyia kazi.
 
hasanteni sana ndugu zangu kwa misaada yenu mliyonipa hatimaye nimefanikiwa kuunganisha printer na pc kwa kutumia usb to lpt1 cable.nashukuru sana kwa misaada yenu.i appreciate a lot thanks guyz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom