Wengi watapoint tafuta kazi fanya mazoezi. Lakini mazoezi au kazi hautafanya usiku kucha, kuna ile saa nne usiku mpaka kesho upo mwenyewe chumbani mtihani hurudi upya hapo.
Na muda huo network hua fasta mno sijui kwanini anyway, amua kubadilika.
disable websites zote za porn zisiwe zinaload kwenye simu yako.
Magroup yanayotuma video na picha za porn yakimbie.
Jitoe Jukwaa La Wakubwa JF.
Tafuta mtu uwe unalala naye, awe wa kike au kiume.
Tafuta mpenzi.
Au badilisha simu toka kwenye smartphone nenda kwenye tochi.
Kama unataka kuzuia websites husika zisisome kwenye simu yako cheki hapa
How to Block Websites on your Smartphone, Tablet (Android, iOS)
Mafanikio mema.