How to block all ways for watching porn videos in android.

Salyeem Elmuharam

New Member
Apr 20, 2018
1
0
For years now ,it is my weakness to watch porn videos. But unfortunately I can't control ma self to it even though I have committed ma self not to watch them.plz any one with an idea!! Frankly I need it.
 
achana na matumizi ya simu janja
badala ya kutumia simu matokeo yake simu inakutumia wewe
 
Wengi watapoint tafuta kazi fanya mazoezi. Lakini mazoezi au kazi hautafanya usiku kucha, kuna ile saa nne usiku mpaka kesho upo mwenyewe chumbani mtihani hurudi upya hapo.

Na muda huo network hua fasta mno sijui kwanini anyway, amua kubadilika.

disable websites zote za porn zisiwe zinaload kwenye simu yako.

Magroup yanayotuma video na picha za porn yakimbie.

Jitoe Jukwaa La Wakubwa JF.

Tafuta mtu uwe unalala naye, awe wa kike au kiume.

Tafuta mpenzi.

Au badilisha simu toka kwenye smartphone nenda kwenye tochi.

Kama unataka kuzuia websites husika zisisome kwenye simu yako cheki hapa How to Block Websites on your Smartphone, Tablet (Android, iOS)

Mafanikio mema.
 
Mrudie Mungu...usiku kabla ya kuingia kitandani piga maombi ya kufa mtu.
 
Wengi watapoint tafuta kazi fanya mazoezi. Lakini mazoezi au kazi hautafanya usiku kucha, kuna ile saa nne usiku mpaka kesho upo mwenyewe chumbani mtihani hurudi upya hapo.

Na muda huo network hua fasta mno sijui kwanini anyway, amua kubadilika.

disable websites zote za porn zisiwe zinaload kwenye simu yako.

Magroup yanayotuma video na picha za porn yakimbie.

Jitoe Jukwaa La Wakubwa JF.

Tafuta mtu uwe unalala naye, awe wa kike au kiume.

Tafuta mpenzi.

Au badilisha simu toka kwenye smartphone nenda kwenye tochi.

Kama unataka kuzuia websites husika zisisome kwenye simu yako cheki hapa How to Block Websites on your Smartphone, Tablet (Android, iOS)

Mafanikio mema.
Kama akijua kublock hizo websites basi atajifunza kuzi-unlock pia
 
Kama akijua kublock hizo websites basi atajifunza kuzi-unlock pia
Ni kweli usemacho, ndiyo maana nikaanza na 'Amua'

Mfano mimi nilianza kuangalia porn darasa la sita nikaenda na hiyo tabia kwa miaka saba mbele nikaja kuamua kua ok hii deal ifie hapa.

External hard drive ya terabyte moja, gb 400 zimejaa porn. Nikafuta.

Jamaa aliyenionyesha porn kwa mara ya kwanza na supplier wangu mkubwa nikamwambia bro hii show mi nashuka stejini, akajibu mi nilishashuka nilikua nakuangalia wewe tu. Mpaka leo siyo marafiki sana.

Nikabadilisha vitu vingi, muda wa kulala, wa kuamka. Simu, sikubadilisha marafiki wengi kwakua hii tabia ilikua ya usiri mno hivyo hakuna aliyejua zaidi ya supplier.

Uamuzi ni jambo la msingi.
 
Weka tu akili ni kua hyo dhambi kubwa.kuangalia pon videos ni Sawa na kumuangalia ur Mama Doing love with your dady.imagine how sign it is
 
Mrudie Bwana MUNGU wako, muda uliokuwa unautumia kuangalia porn videos utumie kusoma neno la Mungu sana. Ukifanya hivyo utampinga shetani naye atakukimbia.
 
weka apps za parental control, sema inabidi usiset wewe akuekee mtu mwengine ili usijue namna ya kutoa, password etc. hizo app zitakufanya kama mtoto uwe limited kutumia mambo ya kikubwa, kama ni youtube utembelee version ya watoto au ya education tu, same kwa apps nyengine.

ingia tu playstore search parental control
 
Ilo swala sio rahisi kama wengi wanavyosema kuwa fanya mazoez au badilisha aina za sim au laa.....ile ni roho kamili kutoka kwa shetani huwez kushindananayo wewe hata siku moja hivi hujawah kujiuliza wale ma actors au ma actress ambao video zao znapostiwa na kuangaliwa bure kabisa je hela wanazolipwa zinatoka wap? Na je huyo anaewalipa hao watu ana agenda gan na watazamaji? Huo ni mpango kamili wa Shetan na mwishowe inapelekea kupoteza au kupungukiwa nguvu za Kiume ndiomaana sikuiz matangazo ya dawa za kuongeza yamekuwa mengi sana.
◇Dawa pekee > KUMRUDIA MUNGU KWANI MUNGU PEKEE NDIYE ANAEWEZA KUKUTOA KATIKA HIYO HALI.
 
Back
Top Bottom