Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,146
- 6,052
Hamna kitu vampire katika real life wazungu nao wanapenda tu vitu vya ajabu ajabu
Mchawi anayekula watu si vampire? Unamkumbuka Rama mla watu? Naye haishi kwenye real life? Luis Suarez naye je?
Weye nakujua mbishi sana ndio maba siku ulipopika kaimati ukaweka ndoo nzima ya maji lol
Weye nakujua mbishi sana ndio maba siku ulipopika kaimati ukaweka ndoo nzima ya maji lol
Haha,,kalimati tena? Lkn mi nazpendaga kwel,,nan anazpika?
Vampires washawahi kuwepo ila zamani sana,
Na bado nakusubiri uje kunipikia.
he bite but not feed
he bite but not feed
Acha utapeli wewe dogo!they stil exist in secret societies hiddens... Unahitaji kumuona mmoja?