How to access TTCL Broadband portal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to access TTCL Broadband portal

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mzeemzima, Aug 29, 2012.

 1. m

  mzeemzima Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Kwa wale watumiaji wa TTCL Broadband, nimekuwa nikijaribu ku login kwenye akaunti yangu ili nione ni kiasi gani cha bandwidth ambacho nimetumia mpaka sasa lakini kila nikijaribu kufanya hivyo kwa kutumia address hii, http://www.ttclbroadband.co.tz/ au hii IP address , portal ambayo niliwahi kupewa na watu wa TTCL kama njia nyingine ya ku login katika portal , ninapata error page ambayo linaonyesha kuna tatizo kwenye DNS server ya TTCL. Kuna mtu mwingine anayekutana na tatizo kama hili? Sijui wenzangu huwa mnatumia njia gani kutaka kuona matumizi yako ya internet ya siku, wiki, etc

  Asante
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2014
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  we kama mimi tu. sa ivi hata lisimu lao halifanyi kazi inabidi niende pugu road just to recharge the f*cking sh*t
   
 3. Kind

  Kind JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2014
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 247
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I hate TTCL unaweza ukawa unalipia nduki gold alafu mwezi mzima usipate network ukiwapigia utasikia zima modem subiri dk 5 washa. Chenga sana hawa jamaa.
   
 4. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 466
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 80
  Yaan kind we kama mimi hujakosea mimi nilipia hicho unlimited cha laki moja na nusu kwa mwezi nilipata net kwa siku tatu ukiwapigia ndo cha kwanza hicho zima modem washa baada ya dakika tano simu mbovu halifanyi kazi ku recharge mpaka uende pugu road sheshe lain iaribiki utabembeleza kama huduma wanakupa bure kuna kipindi speed ilikuwa mbovu wakamtuma fundi wao kaja kazima modem kawasha kachemsha akasema ataripoti ofisin waangalie kwenye mtambo mpaka leo kimya nimeshaachana nao voda unlimited 20 ndo natumia s mshauri mtu hata siku moja kutumia ttcl utajuta mvua ikinyesha tu hamna net labda kama unakaaa maeneo ya wakubwa masaki au obey lakin huku kwetu mpaka uwaambie kuna hela ya soda ndo wanakuja najuta kuwapa hela zangu hawa ttcl
   
 5. Brodre

  Brodre JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2014
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,054
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Broadband mpaka uwe kwenye line zao ndo utaweza access portal na maana uwe unatumia moderm zao kuhusu kifurush cha nduki cha 150000 kweli ni majanga uwa kinakaa dk 5 au 30 afu kinakata mwezi mzima wamenisumbua mpaka nikaachana nao
   
 6. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2014
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kumbe hawa waseng*e ni matpeli wakubwa sana....

  Mbona nasikia wanayo Unlimited ya mwezi kwa 30,000/= hii inakaa je mbona watu mikoani Internet Cafe wanatumia na ndo wanatuokoa maana kuna bush nyingine hata 2G hamna kabisa
   
 7. Brodre

  Brodre JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2014
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,054
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Wanazo hadi za 30000 sema speed yake unajua ttcl kununua bundle yao ni kwamba unanunua speed. Kuna unlimited ya 30000, 150000 hadi 400000 ni kutoma na speed unayohitaji. Sisi tulikua tunatumia ya 40000 ofisini sema downloading iko slow ila tulivo opt ya 150,000 ni gbs tu unashusha
   
 8. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2014
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  sasa ya 30,000/= speed yake ni mpaka ngapi?
  Na hiyo ya 150 na 400 speed yake ni ngapi?

  e.gwanakupa 4Mbps kwa 30,000/= au?
   
 9. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 466
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 80

  MIMI NILIKUWA NATUMIA UNLIMITED YA 2Mbps NALIPA LAKI NA NUSU NATAKIWA NIPATE SPEED HIYO HAPO LAKINI NI MAJANGA KWANZA WANAKWAMBIA SPEED SIO DEDICATED NI SHARED MCHANA SPEED NAPATA 30kbps MPAKA USIKU SPEED NDO NAPATA 230kbps TATIZO HAIKAI DAKIKA 15 LAZIMA IKATE MPAKA UZIME ROUTER UWASHE UKIWAPIGIA WANAKWAMBIA ZIMA ROUTER WASHA TUANAREKEBISHA LAKIN WAPI NDO MZIKI WAO HUOHUO MVUA IKINYESHA HAMNA NET NJUNWA HATA USIJARIBU KUPOTEZA HELA ZAKO KUFUNGA TTCL UTALIA UKIWAAMBIA SPEED NDOGO WANAKWAMBIA SASA HIV PEEK HOURS SUBIRI BAADAYE ALAFU WATU WANASIFIA TANZANIA TUNA MKONGA
   
 10. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2014
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Daah!Afadhali nimewajua kumbe wababaishaji assume una internet cafe si utapigwa mawe kama ukiwa haujui TTCL ni wababaishaji...sasa mbona Bongo Huduma ya Internet za kiofisi tabu tupu sasa
   
 11. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2014
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 466
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 80
  Unajua ttcl ndo wanatakiwa wabebe heavy users wanao na download ma gb na ku stream movies au tv channels na ku play online games lakin imekuwa opposite kabisa longo longo kibao miundo mbinu tanzania ingekuwa mizuri hata home users tunaweza kunua net seacom sio ttcl kama watu wa cafe wangefaidika sana we ingia ofisi amabayo seacom ndo provider wao net ilivyo fasta hamna longo longo utatamani uamishe kambi humo
   
Loading...